Cc.Tlaatlah,Lucas Mushambwa,Troll ,Choicevariable &ccm chawasNauliza kwa dhati kabisa
Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi…
Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao?
Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi,
Halafu bado kuna watu wanajitokeza hadharani kusifia kila kitu kana kwamba hakuna tatizo lolote.
- Maisha yamekuwa magumu kupindukia
- Vijana hawana ajira
- Wananchi wanalia kila siku
- Mfumo unaendelea kuwaumiza wale wale wa chini
- Uongozi haueleweki
Mbaya zaidi, tunashuhudia matukio mazito hadi ya kupoteza maisha kama yale ya tarehe 29 Oktoba lakini kwao hilo halina uzito wowote. Kimya. Hakuna kuhoji. Hakuna kuwajibisha. Ni kusifia tu.
Sasa nauliza:
👉 Hawa watu hawaumizwi na hali hii?
👉 Au kuna maslahi binafsi yanayowafanya wawe vipofu kwa mateso ya wananchi wengine?
👉 Au tumefika mahali utu hauna maana tena?
👉 Kama wao hawapati madhara moja kwa moja je hawana wazazi au ndugu, jamaa na marafiki wanaoteseka?
👉 Je ni tamaa, ubinafsi na ulafi uliopindukia?
Kwa sababu haiwezekani mtu mwenye akili timamu, anayeishi na wananchi, akaona haya yote halafu bado akaamua kupiga makofi tu. Watu wanahoji anajibu kirahisi rahisi tu.
Kama kuna mtu anaona kila kitu kiko sawa, basi aseme wazi sisi wengine tunaona nchi iko pabaya sana na inaelekea kubaya zaidi.
Tujadiliane kwa hoja. Lakini ukweli lazima usemwe.
Huyu ndio mjinga kabisa hana akili hata moja .....amejitoa akili zote ameweka kinyesi.....Chawa jike Lucas Mwashambwa yeye amewekwa kinyumba na AbdulView attachment 3569014
Hata kuzaliwa kwake ni matumizi mabaya ya maniiHuyu ndio mjinga kabisa hana akili hata moja .....amejitoa akili zote ameweka kinyesi.....
Nauliza kwa dhati kabisa
Nauliza swali ambalo wengi wanaogopa kuliuliza waziwazi…
Hivi hawa machawa wa CCM wanaishi nchi hii hii tunayoiishi sisi, au wanaishi kwenye dunia yao?
Kwa sababu ukweli hauhitaji kupakwa rangi,
Halafu bado kuna watu wanajitokeza hadharani kusifia kila kitu kana kwamba hakuna tatizo lolote.
- Maisha yamekuwa magumu kupindukia
- Vijana hawana ajira
- Wananchi wanalia kila siku
- Mfumo unaendelea kuwaumiza wale wale wa chini
- Uongozi haueleweki
Mbaya zaidi, tunashuhudia matukio mazito hadi ya kupoteza maisha kama yale ya tarehe 29 Oktoba lakini kwao hilo halina uzito wowote. Kimya. Hakuna kuhoji. Hakuna kuwajibisha. Ni kusifia tu.
Sasa nauliza:
👉 Hawa watu hawaumizwi na hali hii?
👉 Au kuna maslahi binafsi yanayowafanya wawe vipofu kwa mateso ya wananchi wengine?
👉 Au tumefika mahali utu hauna maana tena?
👉 Kama wao hawapati madhara moja kwa moja je hawana wazazi au ndugu, jamaa na marafiki wanaoteseka?
👉 Je ni tamaa, ubinafsi na ulafi uliopindukia?
Kwa sababu haiwezekani mtu mwenye akili timamu, anayeishi na wananchi, akaona haya yote halafu bado akaamua kupiga makofi tu. Watu wanahoji anajibu kirahisi rahisi tu.
Kama kuna mtu anaona kila kitu kiko sawa, basi aseme wazi sisi wengine tunaona nchi iko pabaya sana na inaelekea kubaya zaidi.
Tujadiliane kwa hoja. Lakini ukweli lazima usemwe.
KAZI iendelee....KAZI ni utu....Shida ipo hapa
View attachment 3568734
Nyie nyumbu mnataka watanzania tuwe kama tecdema walioenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu vibaka nyie?
Mnataka watanzania wa kwenda kutafuta tume huru kwa shilole?
Isipokuwa wenye akili ni wale vibaka walioenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na mabasi ya mwendokasi?Huna akili
Isipokuwa wenye akili ni wale vibaka walioenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na mabasi ya mwendokasi?
Takataka
Kwani huyu kapigwa pasi ama kaingia chini ya sgr?Chawa jike Lucas Mwashambwa yeye amewekwa kinyumba na AbdulView attachment 3569014
Wewe mzee kilaza kweli. Unapima ubora kwa mshahara mtu analipwa?KAZI iendelee....KAZI ni utu....
Mama yupo kwenye list ya marais wa Dunia wanaolipwa mishahara mizuri.
Ushahidi upo hapa kwenye takwimu za kimataifa.
View attachment 3569254