wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa.
Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki.
Suluhisho ukimpenda binti unaenda kwao unajitambulisha wakupokee na mahali utoe matunda aina saba za matunda ili roho mtakatifu ndio awe kiunganishi cha ndoa yenu na sio hela binadamu atajifunza kuwa mahari ni utumwa ndio unaoleta au chanzo cha umaskini na kuvunjika.
Kwa nini unapotoa mahali kuna roho za lucifer roho za maagano na ukumbuke hakuna sehemu ambayo roho wa Mungu anakaa kwenye uonevu udhulumaji anaofanyiwa