Ukweli mchungu: Mashabiki wa simba hawawezi kuwa na furaha timu yao kushiriki caf super cup, wakati hawana kombe (ndoo) lolote ndani ya kabati lao

Ahahaahaa

Mleta uzi umegonga mule mule,hawaamini macho yaooooo
 
Sema kwa Simba super league ni mtego sana maana uwe na
1.Super league
2.CafC
3.Nbc
4.Asfc
Hapo wanatupa yanga uwanda mpana wa kujidai maana ligi tutachukua tena
Ahaaahh

Bahati nzuri wanakoend hawatopata kombe lolote,iwe CAF CC,CAF CL au hiyo Super League
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…