Ukweli mchungu: Mashabiki wa simba hawawezi kuwa na furaha timu yao kushiriki caf super cup, wakati hawana kombe (ndoo) lolote ndani ya kabati lao

Hakuna shabiki yoyote Yule duniani mwenye furaha yakushiriki michuano Fulani pasipo na mafanikio yoyote,
Mbona sisi Simba tuna furaha? Na hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuahirishwa, mchezeshwe mfululizo hadi mpigwe mkono na Baleke
 
Mbona sisi Simba tuna furaha? Na hii mechi ya tarehe 16 hakuna kuahirishwa, mchezeshwe mfululizo hadi mpigwe mkono na Baleke
Baleke galasa kutoka tp Mazembe, ataifunga mtibwa na ihefu tu, hata Azam hawezi kuifunga huyo
 
cc: Labani og
 
Ni mashindano ya Timu kubwa tu. Hayazingatii vikombe vya chai mlivyojaza kwenye makabati ya mbao
Sizitaki mbichi hizi!

Poleni sana mbumbumbu fc, mna uchungu sana kupigwa pigwa kama ngoma na Yanga!

Ila Mikia mna uchungu sana zaidi hamna kombe hata la ndondo cup, ni aibu kubwa kwa 'wa kimataifa'
Uchungu mbili zinàkuja kipigo Toka Yanga na vipigo ndani nje vya Wydad!!
 
Hata kombe lakuzugia hawana aisee hii ni hatari sana.
 
Naskitika Azam wamewachapa vibaya mnoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu anaona wivu sana kwa simba kushiriki super cup. Kushiriki mashindano haya ya kiwango cha juu kabisa hapa afrika ni heshima kubwa sana kwa klabu ya simba!! Kuna majirani zetu wanaitamani heshima hii lakini kwa bahati mbaya HAWASTAHILI bado!!
 
Sawa endeleeni na heshima.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…