Ukweli mchungu: Mashabiki wa simba hawawezi kuwa na furaha timu yao kushiriki caf super cup, wakati hawana kombe (ndoo) lolote ndani ya kabati lao

Sio Super Cup ni Super League.

Sasa mtani kwa huu uzi ni wazi unachanganyikiwa.inabidi upewe msaada kwanza tiba ya moyo alafu ifate tiba saikolojia
 
Ngao ya jamii hii hapa..sema jingine
 
Ndio tuseme Uzi huu umeshakufa kwa Ngao ya Hisani? Hakika soka ni mchezo wa kikatili, hadi kwenye nyuzi 🤣 🤣🤣
 
Jana iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…