Ukweli mchungu: Mwaka jana (2020), Raundi ya 5 Simba ilikuwa ikiongoza Ligi

Ukweli mchungu: Mwaka jana (2020), Raundi ya 5 Simba ilikuwa ikiongoza Ligi

Hapo umeongea ki uanamichezo. Hongera sana.

TUKO PAMOJA.
Tujipe muda tuone mpaka mzungu wa 20 tuone timu ipi itakuwa inaongoza ligi na kwa gap ya point ngapi. Hapo ndio tunaweza kupata mwanga. Na ikitokea gap sio kubwa basi itatubidi tusubiri hadi tamati ya ligi.
 
Tujipe muda tuone mpaka mzungu wa 20 tuone timu ipi itakuwa inaongoza ligi na kwa gap ya point ngapi. Hapo ndio tunaweza kupata mwanga. Na ikitokea gap sio kubwa basi itatubidi tusubiri hadi tamati ya ligi.
Ligi ni ngumu mno.
Tunawaomba mashabiki wenye roho ndogo wawe wavumilivu timu yao ikifungwa.
 
Utopolo mnaongoza kw hivi

f4c0a55cd23340d0959ac7cda4fed05e~2.jpg
 
Una. Akiliii timamu kwelii we we...? So unafanya comparison za mwaka Jan na una aamua kabisa kisa hajaongoza kama last year nd kaukosa ubingwa mwaka huuu....? Huuu ni mpira kwenye ligii hua tunasuburii zifike nusu mzungukko lakinii pia yoteee ya na we za kutokea
 
Una. Akiliii timamu kwelii we we...? So unafanya comparison za mwaka Jan na una aamua kabisa kisa hajaongoza kama last year nd kaukosa ubingwa mwaka huuu....? Huuu ni mpira kwenye ligii hua tunasuburii zifike nusu mzungukko lakinii pia yoteee y
azam tv wamepost hii
 
Maajabu ya dunia yanga analalamika et kwanini Simba haongozi ligi.
 
Dooh ila wewe jamaa ni muongo sijawahi ona aisee dooh.
Simba Ikashinda kwa Ihefu
Ikatoa sare kwa mtimbwa moja moja
Ikapigwa na prisons moja bila
Ikapigwa na ruvu moja bila
Ikashinda kwa biashara
 
Dooh ila wewe jamaa ni muongo sijawahi ona aisee dooh.
Simba Ikashinda kwa Ihefu
Ikatoa sare kwa mtimbwa moja moja
Ikapigwa na prisons moja bila
Ikapigwa na ruvu moja bila
Ikashinda kwa biashara
Taarifa yako sio sahihi

Simba alishinda kwa ihefu,
Akatoka hapo aka draw na mtimbwa,
Akashinda na Gwambina
Akadhinda na Biashara
 
Taarifa yako sio sahihi

Simba alishindwa kwa ihefu,
Akatoka hapo aka draw na mtimbwa,
Akashinda na Gwambina
Akadhinda na Biashara
Kafatilie tena mechi na Ihefu Simba 2 ihemu moja
Muzamiru na boko ilikuwa mechi ya Kwanza ya ligu
 
Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli
Msimu wa 2019/2020 Yanga alitesa sana kileleni na kuiacha Simba kwa gap la point 20
Hata hivyo Simba alimaliza bingwa

1637238879883.png
 
Msimu wa 2019/2020 Yanga alitesa sana kileleni na kuiacha Simba kwa gap la point 20
Hata hivyo Simba alimaliza bingwa

View attachment 2015329
Waliachana point tano tu. Hauoni hapo Yanga waliizidi Simba michezo mitano? Ingelikuwa ni ajabu endapo Yanga angeiacha Simba point 20 huku michezo ikiwa sawa halafu mwisho wa siku kombe ushindwe kubeba. Point tano kwenye ligi ni sio gap kubwa maana ukifungwa mechi moja na kutoa sare tayari mnalingana. Hata saivi gap ya Yanga na Simba bado sana lolote laweza kutokea ukizingatia ligi bado mbichi kabisa
 
Back
Top Bottom