Tujipe muda tuone mpaka mzungu wa 20 tuone timu ipi itakuwa inaongoza ligi na kwa gap ya point ngapi. Hapo ndio tunaweza kupata mwanga. Na ikitokea gap sio kubwa basi itatubidi tusubiri hadi tamati ya ligi.Hapo umeongea ki uanamichezo. Hongera sana.
TUKO PAMOJA.
Ligi ni ngumu mno.Tujipe muda tuone mpaka mzungu wa 20 tuone timu ipi itakuwa inaongoza ligi na kwa gap ya point ngapi. Hapo ndio tunaweza kupata mwanga. Na ikitokea gap sio kubwa basi itatubidi tusubiri hadi tamati ya ligi.
azam tv wamepost hiiUna. Akiliii timamu kwelii we we...? So unafanya comparison za mwaka Jan na una aamua kabisa kisa hajaongoza kama last year nd kaukosa ubingwa mwaka huuu....? Huuu ni mpira kwenye ligii hua tunasuburii zifike nusu mzungukko lakinii pia yoteee y
Kwa hiyo sahiz mnamzid simba pts ngapPoint nyingi ndio nne? Nne sio point nyingi ukifungwa mechi moja na sare moja tayari mnalingana
Taarifa yako sio sahihiDooh ila wewe jamaa ni muongo sijawahi ona aisee dooh.
Simba Ikashinda kwa Ihefu
Ikatoa sare kwa mtimbwa moja moja
Ikapigwa na prisons moja bila
Ikapigwa na ruvu moja bila
Ikashinda kwa biashara
Kafatilie tena mechi na Ihefu Simba 2 ihemu mojaTaarifa yako sio sahihi
Simba alishindwa kwa ihefu,
Akatoka hapo aka draw na mtimbwa,
Akashinda na Gwambina
Akadhinda na Biashara
Ni typing errorKafatilie tena mechi na Ihefu Simba 2 ihemu moja
Muzamiru na boko ilikuwa mechi ya Kwanza ya ligu
BadoKwani ligi imeisha?!
Msimu wa 2019/2020 Yanga alitesa sana kileleni na kuiacha Simba kwa gap la point 20Pamoja na kwamba Yanga ilimaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni msimu uliopita lakini ligi ilipofikia Round ya 5 Simba ndiyo iliyo kuwa ikiongoza ligi wakiwa wote wanalinga point lakini Simba akiwa juu kwa tofauti ya magoli
Waliachana point tano tu. Hauoni hapo Yanga waliizidi Simba michezo mitano? Ingelikuwa ni ajabu endapo Yanga angeiacha Simba point 20 huku michezo ikiwa sawa halafu mwisho wa siku kombe ushindwe kubeba. Point tano kwenye ligi ni sio gap kubwa maana ukifungwa mechi moja na kutoa sare tayari mnalingana. Hata saivi gap ya Yanga na Simba bado sana lolote laweza kutokea ukizingatia ligi bado mbichi kabisaMsimu wa 2019/2020 Yanga alitesa sana kileleni na kuiacha Simba kwa gap la point 20
Hata hivyo Simba alimaliza bingwa
View attachment 2015329