Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Naunga mkono hoja
 
Kwa heshima aliyojijengea Chama angeondoka kwa heshima ila huu ujinga anaofanya atakua na mwisho mbaya
 
Siku hizi ubabaishaji wote wanaumaliza FIFA, watakapozuiwa kusajili ndio watamlipa pesa zake, hapa tunapigwa kwamba Tu, Chama anavyopendwa na mashabiki wa Simba ukiona anazinguwa ujuwe anadai pesa zake na si vinginevyo.
 
Kwa heshima aliyojijengea Chama angeondoka kwa heshima ila huu ujinga anaofanya atakua na mwisho mbaya
Wewe uko tayari kudhurumiwa stahili zako kazini?

Msiwachukulie powa hao wacheza Mpira, retirement yao ni miaka 40 tu huna shughuri na hapo uwe na kipaji, miaka 30 tu unaitwa Mzee, au siyo nyinyi kila siku mnataka John Boko aachwe? halafu akafanye kazi gani?
 
Amedhulumiwa na nani Chama kasha kua mswahili yale yale ya kina Feisal , mchezaji gani kila msimu lazima azue kitu
 
Mambo sio mambo
 

Attachments

  • 469A843E-76AF-4AFE-A522-8CE24EF45A6D.jpeg
    216.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…