Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:
Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao.
Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa speed ya ngiri, yeye, pamoja na dream team nzima wote ndani, watakuwapo:
Kwamba CUF, CCM, ACT, na vyama vyote vingine wote watakuwapo, sembuse wabangaizaji?
Kumbe nani atakosekana?
Asiye na mwana aeleke jiwe. Mtoto hatumwi dukani.
"Tukutane kwenye mdahalo, CDM 2025!"