Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:



Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao.

Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa speed ya ngiri, yeye, pamoja na dream team nzima wote ndani, watakuwapo:



Kwamba CUF, CCM, ACT, na vyama vyote vingine wote watakuwapo, sembuse wabangaizaji?



Kumbe nani atakosekana?

Asiye na mwana aeleke jiwe. Mtoto hatumwi dukani.

"Tukutane kwenye mdahalo, CDM 2025!"
 
Mmh labda!!! Kweli hili chama kubwa nimeamini.

Mbowe, Samia na washirika wao wakiwamo wanaohusika na wasiohusika hawakubanduka kwenye runinga.

Vidonge vyote vimewafikia.

Hapo ni mwendo kumeza au kutema, tote ni shauri yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…