johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sikulazimishi ukubaliane na mimi lakini huu ndio ukweli mchungu.
Kama siyo ubora wa bunge Prof. Kitila asingeutema ukatibu mkuu wa kusimamia huduma ya maji Tanzania nzima na kwenda Ubungo.
Mnyeti na Paul wasingeukacha ukuu wa mkoa ambao wabunge wote mkoani wako chini yako na kwenda majimboni ili warudi kuwa chini ya maRC.
Wasanii wasingeitelekeza tasnia yao na kukimbilia Bungeni.
Askofu Gwajima anayefufua asingeacha wito wake wa kulisha kondoo na badala yake yeye anaenda kulishwa na Spika.
Niseme tu Bunge la Ndugai ndio kimbilio kwa sasa kutokana na ubora wa Spika.
Maendeleo hayana vyama!