Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Waweke Minimum qualification ni Bachelor Degree /Adv. Dip or Equivalent kwa wamajimboni.
Special Seats:- Atleast Form Six or Equivalent.
Wakuwakilisha mkundi Maalum:- Ndio wawe wanajua kusoma na kuandika tu ,Walemavu , wazee ,vijana etc Maana kwenda kuwasemea watu wa kundi maalamu mahitaji yao haihitaji degree.
Hiyo kitu haitokuja kutokea muda huu na unajua maana kuna wabunge watakosa qualification za kugombea..
Nilimsikiliza mzee Wasirra kipindi cha katiba, aliulizwa kwa nini hizo standard zisiongezwe akajibu itabagua kundi la wasiosoma kupata nafasi za kuongoza nchi
Nikajiuliza tu, dereva mwenye kazi skill based anatakiwa walau na cheti cha form four ila mtu anaeamua hatma ya nchi hii ajue kusoma na kuandika.. sikupata jibu