johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kaka! Amka wewe....watu wanakimbilia Ubunge kwa kukwepa ajira chungu ya uteuzi! Hakuna kazi laini kama Ubunge..huna kuteuliwa wala kutenguliwa!Sikulazimishi ukubaliane na mimi lakini huu ndio ukweli mchungu.
Kama siyo ubora wa bunge Prof Kitila asingeutema ukatibu mkuu wa kusimamia Huduma ya maji Tanzania nzima na kwenda ubungo.
Hao wana chuki binafsi na Ndugai eti alimfukuza Nassari kwa utoro!Nyumbu lazima wakupinge
Hata Mbowe kaghairi kugombea urais anarudi Hai!Hao wanaoenda kuwa wabunge wa ndio wakiwa na kazi maalamu.
Ameamua kuacha kufufua walio wafu na kukimbilia ubunge.Askofu Gwajima anayefufua asingeacha
KabisaAisee ..vichwa vingine ni mzigo Kwa kichwa
Kuna:-
1. Walioomba kwa ajili ya kujenga CV kwa JIWE ili waje kuteuliwa kama akishinda Urais.
2. Wanatamani Umate Umate ,Udambwi udambwi, Masotojo ,Marosoroso ,Full handazi ,12M per Month , 300k Per day , 400K kikao cha kamati , 250m Kiinua mgongo , 90m ya gari , 350m ya mufuko wa jimbo , 800m+ mkopo , 3m-10m rushwa ya kuunga/kuchangia hoja za mtu furani etc
Waweke Minimum qualification ni Bachelor Degree /Adv. Dip or Equivalent kwa wamajimboni.Yote haya af ujue kusoma na kuandika tu..