Ukweli mchungu: Ndugai ameboresha Bunge ndiyo maana watu wanazitema teuzi za Serikalini na kukimbilia Bungeni


Hiyo kitu haitokuja kutokea muda huu na unajua maana kuna wabunge watakosa qualification za kugombea..

Nilimsikiliza mzee Wasirra kipindi cha katiba, aliulizwa kwa nini hizo standard zisiongezwe akajibu itabagua kundi la wasiosoma kupata nafasi za kuongoza nchi


Nikajiuliza tu, dereva mwenye kazi skill based anatakiwa walau na cheti cha form four ila mtu anaeamua hatma ya nchi hii ajue kusoma na kuandika.. sikupata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…