Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

Na mwisho, lissu hawezi kuwa kiongozi wa taifa kwa sababu #dishlimetilt kiasi kwamba kumkabidhi rungu kichaa ni kujitakia kikong'otwa bila huruma.
Hatuwezi kuwa na rais ambaye dishi limeyumba kiasi hicho.
Naunga mkono hoja
 
Kama akina Mwigulu, Makamba, Kigwa, Jaffo, Ummy na Gwajima ni Presidential Material huko CCM..... Kila mtu anaweza kuwa Rais.
 
Hivi nikisema wale "watoto wanaokuita baba sio wako ni wa wenzio, je ni kweli au ni hisia zangu?
Na hili pia ni hisia zako wewe na usipende kuaminisha wenye akili kukuzidi upuuzi wako
 
Mtoa mada nilitaka kukutukana vibaya saaana ila ngoja tu niheshimu mawazo yako.Siwezi kumlinganisha Tundulisu na Marais wa awamu zote tz.anawazidi mbali saaana.kwa mawazo yako ndo maana unaishi kwenye Taifa fukara.
 
Hivi aliyepo ana sifa? Tumepigwa

Hivi aliyepo ana sifa? Tumepigwa
Mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ni kiongozi aliyekamilika kila idara,Ni chuo Cha uongozi kitembeacho, Ni kiongozi Bora kabisa kwa Sasa katika Bara hili la Afrika na Dunia kwa ujumla, Nikiongozi ambaye Atakumbukwa na kuenziwa na kutumika Kama Rejea na mfano wa kiongozi Bora kutokea katika Bara hili la Afrika
 
Kweli mleta mada una usema ukweli,
Lissu sifa yake kuu ni ubishi,dharau na kujiona kama mtu pekee anayejua mambo ya nchi hii.

Ndio maana hata 2020 Kina Mbowe hawakuungana nae jukwaani kama ilivyostahili kuwa.

Sifa za Lissu ni sawa na Za Lema.

Tatizo ni kwamba wote ni WAKAIDI kitabia.
 
Naendelea kuamini na kusimamia msimamo wangu kuwa Lisu kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii
 

Rubbish as rot
 

We ni nani bana? Unampangia Mungu? Huyo mama alijua mzee wenu atakufa yeye awe rais? Acha uchawi na kujipendekeza wewe unaijua kesho yako? Mlimpiga risasi si mlijua kafa? Mbona aliyewatuma katangulia pamoja na ulinzi wa mitutu ya bunduki, vifaru, helicopter na ambulance nyuma! Acha kufuru wewe Mungu anapanga destiny ya kila mja wake, kama hajapanga hata wewe hapa andika jaza server za JF hutapata hata uchawa tu japo unajitoa akili kila siku. We una nini hd upangie watu milioni 60 kiongozi wao? Huyo aliyekufa alikua anajua ni wakati gani wa kuongea? Hoja mfu tu unatoa, mtu aliyesema anaweza kumpa mtu mama yake kwa kupewa jogoo ndo anajua cha kusema mahali gani? Na hiyo formula ya kujua cha kusema we umeitolea wapi? Unataka kila mtu aseme kinachokufurahisha wewe? Hebu acheni hizo karma iz bitch utakuja kufa mk juu wazi kwa sbb ya kiherehere na kuingilia maisha ya watu. We unajua kwa nini na mitutu yenu hamkumuua kama mlivyotaka?

Jenga hoja km unamsifia mama yako baki huko acha watu wengine na hussles zao, historia ya Lissu achana nayo kbs we kinda sana! Hao unaowasifia wanamjua na wanamheshimu sio wewe huko unapovuna mpunga ihefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…