Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Mtu mkubwa kama Neyo anaponunua chbu pafyum ujue ipo vzr sana coz hata ww inapaswa ushuru umeweza kutumia ktu ambacho neyo anatumia unadhan had bidhaa inaingia marekani masikhara sema nyie ni watu wa roho mbaya tunawajua [emoji13] [emoji12] mtabak kuchakua jalalank ivo ivo et haina kwalit we kuku kwel wakat hyo sabun unayoogea ya elf 1Hpa ulposema na ney kanunua umemaanisha nn mkuu,uyo ney n mdau mkubwa wa perfume au"
No ofense'
hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Limited edition
Hana hela kununua pafyum.anaongea ubwege tu anatumia sabuni ya kipande kuogea analeta bla bla toa vdeo kwanza ukiwa na pafyum ya chbu huyu jamaa njaaa sana em record vdeo ukiwa na pafyum ya chbu tupia humu... mwehu ww mchana kwenyew wala miguu ya kuku kwa utumbo wa kuku wa kuchoma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hiloooooTuthibitishie kuwa umenunua hiyo perfume.
Yaani mkuu,kaswali kangu hako kadogo tna kamoja ndi majibu aya kweli..Mtu mkubwa kama Neyo anaponunua chbu pafyum ujue ipo vzr sana coz hata ww inapaswa ushuru umeweza kutumia ktu ambacho neyo anatumia unadhan had bidhaa inaingia marekani masikhara sema nyie ni watu wa roho mbaya tunawajua [emoji13] [emoji12] mtabak kuchakua jalalank ivo ivo et haina kwalit we kuku kwel wakat hyo sabun unayoogea ya elf 1
Mkuu kwani wewe ndio tester wa watanzania, yani kizuri/kibaya kwako ni kwa watanzania wote?? acha wivu wa kike, kama umeona ni mbaya usinunue tena ile ni biashara huria ukiridhia unanunua usiporidhia unaacha wanunue wengine. Nenda kaendelee kutumia zile perfume za buku.Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Kila mtu afanye kitu kwa utashi wakeInafanya watu wanakua akil tegemez kwa wengne
Brother huo si mzinga huoooMsiongee sana picha hiyo hapo.
View attachment 502469
Hahaha ile haruf mvua ikinyesha ,,,,,,,hatari na nusuJamani kama kuna mtu anaweza kutengeneza pafyumu yenye harufu ya udongo uliolowa afanye hivyo maana navyopenda hii harufu nyie acheni tu
kwa sisi funs wake wa damu ikiwa na quantity tu inatosha.Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Kama umenunua kweli piga picha tuma
kwa sisi funs wake wa damu ikiwa na quantity tu inatosha.
Ninayo mbonapicha ya nini Mkuu? kama hauamin kanunue ujionee
Kumbe tupo wengi mkuuHahaha ile haruf mvua ikinyesha ,,,,,,,hatari na nusu