Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Hpa ulposema na ney kanunua umemaanisha nn mkuu,uyo ney n mdau mkubwa wa perfume au"
No ofense'
Mtu mkubwa kama Neyo anaponunua chbu pafyum ujue ipo vzr sana coz hata ww inapaswa ushuru umeweza kutumia ktu ambacho neyo anatumia unadhan had bidhaa inaingia marekani masikhara sema nyie ni watu wa roho mbaya tunawajua [emoji13] [emoji12] mtabak kuchakua jalalank ivo ivo et haina kwalit we kuku kwel wakat hyo sabun unayoogea ya elf 1
 
Tuthibitishie kuwa umenunua hiyo perfume.
Hana hela kununua pafyum.anaongea ubwege tu anatumia sabuni ya kipande kuogea analeta bla bla toa vdeo kwanza ukiwa na pafyum ya chbu huyu jamaa njaaa sana em record vdeo ukiwa na pafyum ya chbu tupia humu... mwehu ww mchana kwenyew wala miguu ya kuku kwa utumbo wa kuku wa kuchoma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hilooooo
 
Mtu mkubwa kama Neyo anaponunua chbu pafyum ujue ipo vzr sana coz hata ww inapaswa ushuru umeweza kutumia ktu ambacho neyo anatumia unadhan had bidhaa inaingia marekani masikhara sema nyie ni watu wa roho mbaya tunawajua [emoji13] [emoji12] mtabak kuchakua jalalank ivo ivo et haina kwalit we kuku kwel wakat hyo sabun unayoogea ya elf 1
Yaani mkuu,kaswali kangu hako kadogo tna kamoja ndi majibu aya kweli..
Kweli ww die hard fan ya domo..
Siuliz tena mkuu..
 
Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Mkuu kwani wewe ndio tester wa watanzania, yani kizuri/kibaya kwako ni kwa watanzania wote?? acha wivu wa kike, kama umeona ni mbaya usinunue tena ile ni biashara huria ukiridhia unanunua usiporidhia unaacha wanunue wengine. Nenda kaendelee kutumia zile perfume za buku.
 
Mapenzi ya mziki na pafyum.kazi kutenganisha nikijipulizia najiona kama naimba Salome ingawa mbaya mi kuninoga mziki wake tu.
 
Back
Top Bottom