Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Nilivaa nguo ijumaa iliyopita nikapuliza, nilivyorudi nyumbani nikazitupia kwenye washing bin jana jioni nimezifua bado zinanukia.
Unaweza kuiweka level moja na issey miyake, 212,,kouros?
 
Unaweza kuiweka level moja na issey miyake, 212,,kouros?
In term of quality, haitofautiani sana na Issey miyake , hii naifahamu kuna kipindi hubby alikuwa anaitumia hizo zingine sizifahamu nisije kuongopa.
 
Kila mtu ana hisia anayoipenda ya harufu,manake kuna wengine hutembea na vibiriti na hufuraia harufu ya nya,wengine wana allerge na perfume yeyote,wangine wanapenda harufu kali kama anafuga majini,wengine hupenda dady smell etc,sasa cjui wewe Nibozali unapendelea harufu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…