RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Unaweza kuiweka level moja na issey miyake, 212,,kouros?Nilivaa nguo ijumaa iliyopita nikapuliza, nilivyorudi nyumbani nikazitupia kwenye washing bin jana jioni nimezifua bado zinanukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuiweka level moja na issey miyake, 212,,kouros?Nilivaa nguo ijumaa iliyopita nikapuliza, nilivyorudi nyumbani nikazitupia kwenye washing bin jana jioni nimezifua bado zinanukia.
In term of quality, haitofautiani sana na Issey miyake , hii naifahamu kuna kipindi hubby alikuwa anaitumia hizo zingine sizifahamu nisije kuongopa.Unaweza kuiweka level moja na issey miyake, 212,,kouros?
Kaitaja CCM mmmmmh
Hawa hizi drama zao wanazijua wenyewe
Hapa kazi tu
ni kweli kukaa na MUNGIKI au INTERAHAMWE Hapana
Mkuu wife kaniletea hiyo perfume huwezi hata kuilinganisha na Blue for men.haina ubora ni mbovu