UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hata mimi nashangaa yani wamemuandama mtu ambaye ameshajifia,yani huu ufisadi na hasara tulizopata kwao ni furaha kwamba wamepata ya kumsema Magufuli ambaye ameshakufa,sasa wanavyoongea unaweza kufikiri kwamba nchi hii tatizo lilikuwa Magufuli tu.Wapinzani tulionao ni wajinga tu, wapo bize wanashangilia kifo cha JPM na kushangilia hotuba za mama Samiah. Wakijakushtuka tayari ni 2025.
Mimi nasema nchi hii wapinzani ndio wanatukwamisha.