Hata mimi nashangaa yani wamemuandama mtu ambaye ameshajifia,yani huu ufisadi na hasara tulizopata kwao ni furaha kwamba wamepata ya kumsema Magufuli ambaye ameshakufa,sasa wanavyoongea unaweza kufikiri kwamba nchi hii tatizo lilikuwa Magufuli tu.Wapinzani tulionao ni wajinga tu, wapo bize wanashangilia kifo cha JPM na kushangilia hotuba za mama Samiah. Wakijakushtuka tayari ni 2025.
Walichoweza kubadilisha ni katiba tu Ila Mambo yaleyale ya zamani. Pamoja na kubadilisha katiba ufisadi uliopo Kenya sio wa kawaida hadi mwaka jana walikula pesa za COVID hadi wananchi wakajua, Kama nilivyokwambia tatizo ni selfishness ya mtu mweusi. Haya matatizo sio ya hapa tu ni ya nchi zote zenye watu weusi hata nje ya Africa. Watu wakipewa madaraka wanawaza matumbo yao tu. Kwa kuhisi waweza kidhani CHADEMA au ACT wakiingia madarakani mambo yatabadilika Ila kiuhalisia watakaobadilika ni mafisadi na kuja wapya Ila Mambo ni yaleyale.Mbona Kenya wameweza mkuu?
Kenya wana bunge dhaifu kama letu?Walichoweza kubadilisha ni katiba tu Ila Mambo yaleyale ya zamani. Pamoja na kubadilisha katiba ufisadi uliopo Kenya sio wa kawaida hadi mwaka jana walikula pesa za COVID hadi wananchi wakajua, Kama nilivyokwambia tatizo ni selfishness ya mtu mweusi. Haya matatizo sio ya hapa tu ni ya nchi zote zenye watu weusi hata nje ya Africa. Watu wakipewa madaraka wanawaza matumbo yao tu. Kwa kuhisi waweza kidhani CHADEMA au ACT wakiingia madarakani mambo yatabadilika Ila kiuhalisia watakaobadilika ni mafisadi na kuja wapya Ila Mambo ni yaleyale.
Bunge la Kenya ni tofauti kwasababu kuna mchanganyiko wa wawakilishi kuvyama. Ninachokikubali wabunge wa Kenya kuna wanaowapambania wananchi kweli hadi majimboni mwao kwenye jamii. Mfano wa wabunge wa Kenya ni Kama Marehemu Filikunjombe alivyokuwa anafanya jimboni hadi anashiriki shughuli za kijamii. Wabunge wote kuwa CCM ni tatizo Ila hata wapinzani wetu wapo kimaslahi zaidi kwa Imani yangu.Kenya wana bunge dhaifu kama letu?