Fundi kipara
Senior Member
- Oct 27, 2019
- 125
- 247
Ukweli mchungu.
Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.
Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni medali yoyote hawana, kama ni makombe mengi hawana, ni utashi tu wa watu wao waliozoea michongo😀.
Yaani timu haijulikani kwa mambo ya mpira, utasikia sisi ni Timu Kubwa Africa wakati wanaishia Fobo Fainali hadi Mapinduzi Cup na hii nayo ndio kama mnavyoona. Kikubwa kujisifia mambo yasiyo ya kimpira kama kupostiwa na page za michezo, yaani ni utoto mtupu kwanzia viongozi, walivyoitwa mbumbumbu hawakukosea kabisa.
Sisi tutafahamika kwa kupitia ujuzi na ubora wa ndani ya uwanja tu, hatutaki mambo mengine.
NB; Kuna tofauti sanaa kati ya timu bora na timu maarufu, yenu sio bora ni maarufu.😂🤝