UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

Kwa hiyo ukanda Cecafa ilitakiwa icheze timu gani
 
Sawa Simba hawakustahi,nendeni nyie mkashindiliwe vizuri huo mwiko huko nyuma hadi uzame kabisa ili mtulie.
 
Reactions: BRN
Mchungu kwa wewe Utopolo..Na Bado ...Hamjasema
 
jana walicheza mchezo mzuri tu, wa level zile kabisa, wanastahili.
 
Reactions: BRN
Karibu Jamii Forum.
HAPA ni home of Great Thinkers.


UPUMBAVU WAKO FICHA KWA BIBI YAKO.
 
Reactions: BRN
Hakuna lolote, mtoa mada ni sawa na mjamzito akiwa kwenye uchungu. Ataongea chochote Ili kujipoza tu. Kama anajua mafumbo, aende akaimbe taarabu.
 
Wanao reply Matusi na Hoja za Kijinga Asimilia Kubwa Maisha Yao Yamesakamwa na Umaskini wa Afya ya Akili..!!

Mkuu Una Kiti Chako Mbinguni Waislamu Hua Tunapaita Peponi ...!!
Reply Yako Ipigwe Lamination na Iekwe Pinned Katika Kurasa
Haswaaaa Suala la Kutandika Waarabu Katika Michuano ya CAF watuachie SIsi...!! Wao Wamsubiri Tatu Marobo
 
Simba kawahamasisha sana, hongera zenu.
 
Na bado hamjasema, mtasema mpaka mnapokunya chooni. Mnyama ni level zingine. Levels zenu ni Ihefu mataahira nyinyi
 
Tunamkabili kama alivyokuja huyu funza wa kijani kutoka vyura FC
 
Reactions: Tui
Wakati mwingine mkitukanwa msiwe mnalaumu. Maana kuna nyuzi nyingine mnaanzisha za kikuda kabisa.
 
Reactions: Tui
Na bado hamjasema, mtasema mpaka mnapokunya chooni. Mnyama ni level zingine. Levels zener ni Ihefu mataahira nyinyi
Jumanne mechi ya marudiano na Al Ahly utakuja hapa na stori ya kubeba kombe la Africa Super cup la kufa kiume! Inajulikana mtapigwa kama ngoma! Mtakandwa 5!

CAF wanajua Simba Ina promo sana na mashabiki wengi mazuzu wanaojaza uwanja ndo maana wakaichagua kufungua ligi Yao mpya ila wanajua sana pia kuwa Simba inasindikiza tu madume ya mamba kina Al Ahly, Esperance na Mamelodi!

Mechi zenu ni mbili tu!! Al Ahly waliwapiga goli mbili tu kwa Mkapa wakiwa na huzuni ya ndugu zao wapalestina japo ndio zilimaliza mwendo wa Simba kwenye haya mashindano japo hakuna Cha kushangaza Kwa hii Simba ya papatu papatu!

Ngoja Al Ahly waje wacheze na Yanga ndo utaujua mziki wa Max Nzengeli na Yao yao!
 

Attachments

  • VID-20231022-WA0001.mp4
    1.2 MB
Unaumia kutoka wapi we dada? Haya vua pampers kajioshe uchafu. Nawambia Simba inawapa maumivu mpaka mnapata hedhi za ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…