Kwa watu wenye weledi wa mpira ni kuwa simba ana kibarua kigumu sana cha kufuzu mbele ya hili grupo lake kutokana na namna wanavyocheza na wapinzani wao sio wanyonge. Ili simba apite inabidi amstopishe bravo ugenini na kitu kigumu kwa wale jamaa mana wameshaona simba ni wepesi kwa hiyo itakuwa mechi ngumu sana na jamaa watapambana mana wapo nyumbani na wanahitaji point 3
Mechi ya simba cosnstantine na bravo ni ngumu constantine kufungwa home na bravo hivyo constantine atapambania alama tatu zake na kumbuka kila mmoja bado ana mechi na
Cs faxien
Mpaka mwisho wa picha kundi litakuwa hivi
Braves pts 12
Constantine 12
Simba 9
Cs sfaxien 3
Kiufupi kwa simba ni innalilah wainna ilaih rajiuna.
Simba tukutane msimu ujao wa champion league