- Thread starter
- #21
Hifadhii hii post.Badala ujadili jinsi gani utakavyouondoa huo mwiko huko nyuma unakaa unajadili mambo ya wanaume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hifadhii hii post.Badala ujadili jinsi gani utakavyouondoa huo mwiko huko nyuma unakaa unajadili mambo ya wanaume
Acha ushabiki maandazi,kwenye mpira lolote linaweza kutokuwa.Kwa watu wenye weledi wa mpira ni kuwa simba ana kibarua kigumu sana cha kufuzu mbele ya hili grupo lake kutokana na namna wanavyocheza na wapinzani wao sio wanyonge. Ili simba apite inabidi amstopishe bravo ugenini na kitu kigumu kwa wale jamaa mana wameshaona simba ni wepesi kwa hiyo itakuwa mechi ngumu sana na jamaa watapambana mana wapo nyumbani na wanahitaji point 3
Mechi ya simba cosnstantine na bravo ni ngumu constantine kufungwa home na bravo hivyo constantine atapambania alama tatu zake na kumbuka kila mmoja bado ana mechi na
Cs faxien
Mpaka mwisho wa picha kundi litakuwa hivi
Braves pts 12
Constantine 12
Simba 9
Cs sfaxien 3
Kiufupi kwa simba ni innalilah wainna ilaih rajiuna.
Simba tukutane msimu ujao wa champion league
Utopolo ,alama 1 na anafuzu robo fainaliSimba kwavile walishawahi kupitia mazingira magumu kama ya namna hii kwa mara nyingi na akafuzuzu hivyo haitakuwa ni jambo ngeni kwao.
Japo naomba tu watolewe kitu ambacho naona ni kigumu kwavile Simba wana bahati nzuri na michuano ya CAF. Angalia mechi mbili za Dar, Bravo walikuwa wanapata sare au kushinda. Na ile ya CS Sfaxien ngoma ilikuwa inaenda sare ile lakini bahati iliangukia kwao.
Mzigo ili unoge hapo ni kwamba
Raundi ya 4
Simba vs CS Sfaxien ( CS Sfaxien ashinde)
Constantine vs Bravo ( draw)
Raundi ya 5
Bravo vs Simba ( Bravo ashinde)
Constantine vs CS Sfaxien ( Constantine ashinde
Ngoma ikiwa hivi hapo ni kushinei hata mtu ashinde magoli 50 mechi ya mwisho.
1) Bravo point 10
2) Constantine point 10
3) Simba point 6
4) CS Sfaxien