Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Hilo kombe la shirikisho ambalo simba wamekuwa wanashiriki sasa kwa kweli sio kama lile la misimu yote.
Hili la sasa limekuwa la kibwege sana na team za hovyo sana kama hao Tripoli.
Hawa hawa ndiyo waliokandwa na Biashara United kipindi kile eti leo ndiyo mnategemea watawatoa kwa kipigo kikali mademu wenzao simba?
Hapo shirikisho sioni team ya kuisumbua yanga kama ingekuwepo huko kitu ambacho ni kigumu kwa sasa yanga ni kubwa Africa..
Simba ni team dhaifu sana sana sana kwa hata hapa nchini kwa wachezaji wale wachovu na walegevu kama wamenyimwa maji msitegemee eti watashinda kwa mkapa, haiwezekani!
Hawa wanawake wawili wote wataenda mpaka matuta na huko ndiko zile piga nikupige simba atatolewa kwa matuta ...
Nipo hapa mwanasimba kindakindaki.