Ukweli Mchungu : Simba ni Tawi La Yanga

Ukweli Mchungu : Simba ni Tawi La Yanga

Umeelewa kilichoandikwa au nikufanyie tafsiri. Simba iliundwa na wachezaji waliojiengua kutoka Yanga. Wachezaji walioanzisha simba walikuwa wachezaji wa yanga. Kama na hapa hujaelewa basi try again atakuwa ana kazi kubwa sana
Bado wewe ni mjinga. Hujui maana ya tawi.
 
Young Africans Sports Club, also known as Yanga, is a Tanzanian football club based in Twiga Street, Jangwani, Dar es Salaam. The club's home games are played at the National Stadium. It is one of the two biggest football clubs in Tanzanian football

Subsequent to its establishment in 1935, its members squabbled over their team's poor performance and results. The club had an even poorer and unsatisfactory performance in 1936 that caused some of the members to split and form another team. The proponents of breaking away were Arabs who saw fit to cause conflict among the club members that led to a split. They succeeded and together with dissidents, formed a club known as Queens F.C. The name was later changed to Sunderland and then to Simba S.C. which is the club's current name.

The two teams, Young Africans S.C. (Yanga) and Simba S.C. have been rivals ever since. The teams make up one of the most entertaining, eye-catching and talked about derbies in Africa. Young Africans has won more derby matches than Simba.

The team's colours are yellow, green and black. Yanga has won more Tanzanian Premier League titles (27 titles) than any other Tanzanian football club.

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Young_Africans_S.C.

cc: Hajar
sembo na wanasimba wote
Huu ndio ukweli wenyewe.

Sunderland ambao baadae wakajiita simba ni sawa na Hawa aliyetoka ubavuni mwa Adam.

Ndivyo ilivyo simba (Hawa) kwa Yanga (Adam)
 
hahaaaaa kumbe samba ni wake zetu kama ilivyokuwa hawa kwa adam.......eheee si wametoka 'ubavunu' mwetu?
 
Huu ndio ukweli wenyewe.

Sunderland ambao baadae wakajiita simba ni sawa na Hawa aliyetoka ubavuni mwa Adam.

Ndivyo ilivyo simba (Hawa) kwa Yanga (Adam)
Na hiyo wataikataa. Watapinga kwa nguvu zote. Basis watwambie historia yao, walitokea wapi?
 
Na hiyo wataikataa. Watapinga kwa nguvu zote. Basis watwambie historia yao, walitokea wapi?
Swali: Kama walitokea ubavuni mwa Yanga Sc, na wakapewa jina LA Queen Fc, Je hapo ni nani alikuwa King?
 
Akili zako hewa, basi na Manchester city ni tawi la man united, toto African ni tawi la pamba west ham ni tawi la arsenal.
Chadema ni tawi la ccm acha kukurupuka
Kwel kingereza kigumu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yanga haiwezi kuwa na tawi la kihuni kana Simba
 
Kwel kingereza kigumu 🤣🤣🤣🤣🤣
Unazani ni kiarabu hicho?? Kwa hiyo faru dume ya nzese viongozi wake wakiondoka na kuunda chama lingine means hilo chama litakuwa tawi la nzese think twice
 
Umeelewa kilichoandikwa au nikufanyie tafsiri. Simba iliundwa na wachezaji waliojiengua kutoka Yanga. Wachezaji walioanzisha simba walikuwa wachezaji wa yanga. Kama na hapa hujaelewa basi try again atakuwa ana kazi kubwa sana
Unaelewa maana ya Tawi.
Then TOTO Africa utamuitaje?
 
Umeelewa kilichoandikwa au nikufanyie tafsiri. Simba iliundwa na wachezaji waliojiengua kutoka Yanga. Wachezaji walioanzisha simba walikuwa wachezaji wa yanga. Kama na hapa hujaelewa basi try again atakuwa ana kazi kubwa sana
Mkuu, kulingana na habari yako, waliojitenga na kuanzisha timu si wachezaji bali ni wanachama wa Yanga. Isome vyema habari yako Mkuu
 
Kama mtu anakubali kuwa CCM ndo mzazi wa vyama vingine vya upinzani, Roman Catholic ndo mzazi wa madhehebu mengine ya kikristo, ila anashindwa kukubali kwamba Yanga ndo baba wa Simba basi ujue kuna tatizo mahali katika akili yake!
 
Hivi Kweli mnaojiita wasomi, Hamjui maana ya Tawi.
Simba kama imeundwa ndani ya Yanga, na Ipo kwaajili ya kuisaidia yanga, Basi Simba ni tawi la Yanga.

Ila kama inaendesha mambo Yake kivyake haiwezi kuwa tawi la yanga.

Kwa wale wazee wenzangu, mnakumbuka Bandi moja, ya mziki Washirika Tanzania Star's Wanamuziki wake, walitoke band ya Vijana Jazz wakaunda washirika, wala haikua tawi la Vijana Jazz.

Na hata wamiliki wake ni tofauti.

Wachezaji hawana timu ndugu zangu, ingawa wanaweza wakawa na mapenzi na timu fulani.
 
Na hiyo wataikataa. Watapinga kwa nguvu zote. Basis watwambie historia yao, walitokea wapi?
Mtumie bure akili, mlizo pewa Mwenyezi Mungu, kuchanganua Mambo, wachezaji hawamiliki timu.
Simba hata kama ilichukua wachezaji wengi Yanga. Kuanzisha timu yao, haiwezi bado Simba haiwezi kuwa tawi la Yanga.

Wechezaji hawamiliki klabu, Alafu Simba haifanyi shuhuri zake Chini ya Uongozi wa Yanga, wala haipo kuisaidia yanga.
 
'Subsequent to its establishment in 1935, its members squabbled over their team's poor performance and results. The club had an even poorer and unsatisfactory performance in 1936 that caused some of the members to split and form another team'.

Hii poor performance ilikuwa dhidi ya nani? Nani alikuwa mpinzani wa gongowazi kiasi kwamba wakawa na 'poor performance. Mpira ulianza kuchezwa mwaka huo wa 1935 au ni kuwa mpira ulikuwa unachezwa ila ikatokea Yanga ikawa timu ya kwanza kuundwa?
 
Back
Top Bottom