Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Uchungu wa huu unaouita ukweli uko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wanaojua mpira wanakwambia Yanga walicheza kwa kuiheshimu SIMBA. Siyo kwamba hawakuwa na kasi yao.Kisaikolojia Uongozi wa Simba ulishaitoa timu Mchezoni Tangu Jana walipoanza kulalamikia mabango mbaka kocha alihusishwa.
Kocha wa Simba kaingia uwanjani kucheza kama underdog, Kilicho msaidia Yanga hawakua na kasi yao ya kawaida. Yanga ili athirika kwa wachezaji kukaa muda mrefu bila kucheza, Waka kosa Ile kasi yao ya kawaida.
Oya umeangalia mpira au unaongea utopolo tu, kipindi chote cha pili simba waliikamata mechi, utopolo upepo ulikata.....Mpira ni Mchezo wa wazi, Simba walijaribu kucheza kidogo dakika 10 za mwisho, Muda mwingi wakikaa nyuma shida ikawa wakipata mpira hawana mtu mwenye kasi ya kuwasumbua Yanga.
Hakuna kitu kama hicho,ninachosema kwamba huyu kocha ni mzuri sana,tofauti na Gomes ambae alikuwa bora liende.Kisaikolojia Uongozi wa Simba ulishaitoa timu Mchezoni Tangu Jana walipoanza kulalamikia mabango mbaka kocha alihusishwa.
Kocha wa Simba kaingia uwanjani kucheza kama underdog, Kilicho msaidia Yanga hawakua na kasi yao ya kawaida. Yanga ili athirika kwa wachezaji kukaa muda mrefu bila kucheza, Waka kosa Ile kasi yao ya kawaida.
Acha uongo kipindi Cha pili yanga mmecheza mpira kwa kupoteza sana mda na mkionyesha kuridhika na matokeo ya sare.wachezaji wa yanga walichelewesha sana mda.Mpira ni Mchezo wa wazi, Simba walijaribu kucheza kidogo dakika 10 za mwisho, Muda mwingi wakikaa nyuma shida ikawa wakipata mpira hawana mtu mwenye kasi ya kuwasumbua Yanga.
Kuna tofauti ya nidhamu na mbinu za mpira.Simba iliidharau Yanga? Hata ile approach ya kukaa nyuma ni bado nidhamu.
Mbinu ya mchezo mara zote hupangwa kulingana na sifa na uwezo wa timu pinzani. Kukaa nyuma tafsiri yake unataka mpira uchezwe zone yako zaidi. Hapo ni pale mpinzani wako ana sifa ya kupossess na kupress mpira zaidi yako. Huwezi kuniambia Simba icheze na Ruvu apack buss kisa approach ya game happy itakuwa ni plan mbaya kulingana na attributes za mpinzani wako.Kuna tofauti ya nidhamu na mbinu za mpira.
Ndiyo maana kipindi cha Kwanza mlicheza pasi nyingi zisizo na madhara mpaka mkawa mnajiga chenga wenyewe.
Kipindi cha pili mkapoteana ikabidi mzuie huku mkiomba mechi iishe haraka.
Huku mtaani kumetulia tuli. Yanga bora tuliiona Jana na Simba mbovu pia tuliiona.
Utopolo mnacheza mpira mdomoni.
Utopolo mnacheza mpira kwenye gazeti la champion , sports extra(tarimba abass) na mwanasport.
Simba tulishahama hizo enzi za Manara.