Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

Mpaka useme tausi wetu lini mnaleta? Afadhali tumpelekee Trump anaweza kukubali kuja kuajiriwa Bongo baada ya kushindwa uchaguzi.
Mkichukua ombaomba wenu Nairobi na Nakuru tutawarudishia Tausi wenu na tuongeze bata kumi.
 
kkkkkkkk......wanasema ni the "sleeping giant"...japo miaka nenda miaka rudi utawasikia sisi ni "sleeping giant"...endeleeni kulala fofofo kabisa.ata msiwe na hofu
 
Yani mpaka 2025 bado hawatukua wamefika tulipo sahi 2020? Alafu projection ya IMF ni kwamba kenya itapita morocco 2025 hapo tutakuwa na GDP ya $140 billion ilhali wenzetu wa kusini hata kufika $100 billion hawatakuwa wamefika. Ikifika 2029 naona Kenya ikianza kukaribia south africa ambao uchumi wao kwa sasa inaporomoka.
 
Again, President Uhuru should stop focusing on criticizing Dr. Magufuli because he is not even close to his level. I am told that your so-called president did drop out of school before being forcebly readmitted with a rigged identity. Reports have it that even his final examination results were fabricated. FYI: When you are done wrestling with corona, we will come for our peacocks.
Muone huyu, hapa tunajadili kuhusu uchumi. Kama ni kuhoji elimu na vyeti vya viongozi anza na Jiwe lenu. Nchini Kenya vitu kama hivyo huwa havifichwi, vipo wazi kabisa. Ben Saanane hajulikani alipo hadi leo hii, miaka minne baadaye. Kisa tu eti aliuliza maswali nyeti kuhusu ile PhD ya kimagumashi ya Jiwe.
 
We are not looking to overtake Kenya we are developing our country to the highest levels (Europe) Kenya is full of corruption, poverty, tribalism, we are not trying to be like you
example you have Diesel SGR we are building electric SGR.to show we are going in different direction
PhotoGrid_1605162481588.jpg
 
Uzi umeletwa na Mtanzania mwenzenu ambaye alikua humu siku zote akikingia Tanzania kifua, ila leo kaamua kufunguka kama ilivyo...
Utanzania is not geographical, but intrinsic quality ya uzalendo usio na mashaka. Mchukueni huyo jamaa akamsaidie Mr Uhunye kukagua test kits na kupima korona na ku-manage Covid-19 fund.
 
Tanzania kuipita Kenya is a question of WHEN not IF!
So the question should read; When Tz will overtake Kenya? Not,
Will Tz overtake Kenya?
You've not overtaken Kenya in anything since 1985 and the gap is even widening and getting bigger. So leo hii ndio mtapita Kenya? Mkitumia njia gani? Ya mkato?
 
Utanzania is not geographical, but intrinsic quality ya uzalendo usio na mashaka. Mchukueni huyo jamaa akamsaidie Mr Uhunye kukagua test kits na kupima korona na ku-manage Covid-19 fund.
Unataka nasi pia tupime mbuzi na kondoo?
 
Yani mpaka 2025 bado hawatukua wamefika tulipo sahi 2020? Alafu projection ya IMF ni kwamba kenya itapita morocco 2025 hapo tutakuwa na GDP ya $140 billion ilhali wenzetu wa kusini hata kufika $100 billion hawatakuwa wamefika. Ikifika 2029 naona Kenya ikianza kukaribia south africa ambao uchumi wao kwa sasa inaporomoka.
IMF (International "Military Faction") is spreading FAKE NEWS! Don't believe everything you hear from these sly guys. If you happen to reject their questionable testing kits and Covid-19 vaccines, you will soon realize the numbers you are boasting about will be dropped substantially. "The brains of being told, add yours!"
 
Muone huyu, hapa tunajadili kuhusu uchumi. Kama ni kuhoji elimu na vyeti vya viongozi anza na Jiwe lenu. Nchini Kenya vitu kama hivyo huwa havifichwi, vipo wazi kabisa. Ben Saanane hajulikani alipo hadi leo hii, miaka minne baadaye. Kisa tu eti aliuliza maswali nyeti kuhusu ile PhD ya kimagumashi ya Jiwe.
Who killed Chris Musando? The whole world is conspiring together seeking justice for his beloved wife. Plz do open the IEBC servers and let Raila see his election tallies, before you can talk about trasparency in your corrupt country.
 
Back
Top Bottom