LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Tatizo la graduates wengi wa Tanzania,vyuoni walienda kusoma wafaulu wapate GPA za juu ili ziwasaidie kuajiriwa. Hawakwenda vyuoni kusoma ili wapate maarifa yatakayo wasaidia kutatua changamoto halisi kwenye maisha yao.
King Phillips of Macedonia alimpeleka mwanae Alexander the Great kwa Aristotle " Kusoma" na matokeo yake dunia yote inamjua Alexander the Great ni nani.
Shaka Zulu alienda "kusoma" Kwa Dingi Swayo na hahitaji utambulisho..
But sio kwa graduates wa Tanzania. Wanaenda shule kukariri.Hata wawapo vyuoni, kusoma ni kama adhabu. Ndio maana wanapo maliza vyuo tu hutupa " Madesa" yao na hawajishughulishi tena na " adhabu" ya kutafuta maarifa kwenye vitabu...
Sitoshangaa kutukanwa na graduates wa Kitanzania kwa nitakacho kisema hapa kwa sababu najua wengi hawana maarifa . Hawasomi vitabu. Hawafanyi research..
👇👇👇👇
Ukisoma vitabu vya watu kama Noam Chomsky, Freud Sigmund etc,( Vitabu vya saikolojia na propaganda) halafu uka fuatilia ( uka-study) speeches za Mzee Steven Wasira, utagundua kwamba, huyu mzee ni mtu mmoja mwenye akili ya viwango vya juu sana.. Kwa sababu jinsi anavyo articulate his speeches ni mambo ambayo ya na fundishwa na kusisitizwa na mabingwa wabobevu wa saikolojia.. It is as if hao wana saikolojia wali kuwa wana " angalizia" anacho kifanya Wassira ama the vice versa.
U don't need to understand what Wassira is saying, you just need to FEEL him..
Sio coincidence wala sio bahati mbaya kwa Marais wote kuanzia wa awamu ya kwanza hadi huyu aliepo madarakani, kumuweka karibu Mzee Wassira. They see in him what they cannot see in anyone else.
Hata wewe ukibahatika kuwa Rais, am sure as heaven, you will need him in your camp...
Hawa watu wanao kula samaki wasio kaangwa kuanzia utotoni ni watu wenye akili nyingi sana...
Mbali na Mzee Wassira, Mama Maria Nyerere ni mtu mwingine ambae ukiwa msomaji mzuri wa vitabu, halafu ukamsoma jinsi anavyo zungumza na watu lazima utagundua kiwango cha ukubwa wa akili yake. Mama Maria Nyerere ni mtu mwenye akili nyingi pia.
Mtu mwingine ni mama Rwakatare. Soma vitabu, Elewa vitabu, halafu study speeches za Mama Rwakatare, utagundua kuwa huyu alikuwa mtu mmoja mwenye akili nyingi sana..
( Yes I know Mama Rwakatare ha kuwa muhaya)
Namna Wassira anavyo communicate na hadhira yake, ni njia ambazo zili fundishwa na watu kama Noam Chomsky, Freud Sigmund etc.
Nikuache Quote kutoka kwa Graduate wa Ki Tanzania. 👇👇👇
" Ndugu yangu ukitaka kuishi vizuri kwa amani mtaani kwako jenga urafiki na vibaka.. Siku moja moja Uwe unawatoa unawapa hela unakaa nao bar mnakunywa, mnafurahi kwa pamoja. Ukifanya hivyo kamwe hauto Ibiwa wala kukabwa"
.. ....
Hilo ni wazo ambalo haliwezi kwenye kichwa cha mtu anae jua kuhusu " The science of human mind " .
It is a very crazy idea.
Ni wazo la hovyo kabisa ambalo halina tofauti na wazo alilotoa yule mwendawazimu baada ya Mv Bukoba kupinduka kwamba meli itobolewe juu maji yasiingie ndani ( Poleni mliopoteza ndugu zenu kwenye ajali hiyo kwa kuwakumbusha machungu)