Ukweli Mchungu: Uki -mstudy kwa makini Mzee Wassira, utagundua kwamba huyu ni Mzee mwenye akili nyingi sana



Uchafu huu, if this is your brain content, umesha dumaa sana kiakili
 
Ni watu wa mashambani pekee wataliamini hili
 

kama CDM wamejitoa uchaguzi, kuna sababu gani ya kufungua kesi ya uhaini kwa mwenyekiti wake? Just trying to be curious...maana CDM sidhani kama kelele zake zinaizuia CCM kufanya wanayotaka. Si angeachwa tu
 
Usisisahau wasira pia alikumbatia ule mbuyu pale karibu na St. Peters ( mbuyuni) mchana kweupe akiwa ana loga ili mambo yaende.
Mbuyu ule haΓΉjakatwa na jamaa wanaojenga DARTS kwa sababu ya mambo ya kishirikina ya WASIRA
 
Nilikaa na wasira kipindi cha Magufuli tulikutana sehemu . Aliyokuwa anayasema juu ya Magufuli wakati ule na cheo alichokuwa nacho sasa ni dhahiri kifo cha JPM .........
Hongera kwa kuchota hekima na busara kutoka kwa Mzee Wassira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…