Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

Kwenye biashara hapakosi Janjajanja

Pale Simba SC aka Makolo yule Mo amesema tangu ainunue Hiyo Timu ameshawekeza zaidi ya tsh 51 billion ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
na timu imeingia robo fainali tano za CAF tangu ainunue
 
Ummy kwenye hii serikali na mawazii wenzake yani wanajiamulia tu.
Imagine Wizara ya viwanda yule bibi Kijaji kaweka ofisi yake pale BRELADAr kakimbia dodoma ili aishi nyumba yake iliyopo Dar.
BRELA wanaendesha seminar nchi nzima wanasema wanahamasisha watu wajisajili kwa kulipama mabilioni ya fehs.
 
Nchi hii ina mambo ya kipimbi sijawahi kuona aisee!
 
Yaani hawa wapuuzi wameondoa dawa 178 na vifaatiba 15 kutoka kwenye kifurushi kipya wanataka watanzania wafe kwa kukosa tiba? Sijawahi kuona nchi ya kiqumer kama Tanzania.
 
Kibano kimeanza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ