Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Mwanaume unathaminiwa kutokana na uthamani unaotoa kwenye jamii.
Harakati zako na mapambano yako vitaonekana vya maana pale tu unapofanikiwa.
Lakini kabla ya hapo utaonekana tu kama kijana azururaye.
Hakuna atakayekujali sana wakati unapambana kiasi gani.
Hakuna atayesema ngoja nichukue shida zako zote nikusaidie we wala usiteseke.
Hakuna atakayekuambia we umeteseka sana acha nikusaidie we pumzika.
Ila inabidi upambane mwenyewe.
Wengi wanaongelea wanawake kupata nafasi tofauti tofauti kirahisi.
Hilo halijalishi, hauna haja ya kulingana na mwanamke.
Sababu mwanamke tangu amezaliwa ana uthamani lakini mwanaume inabidi utengeneze, ukuze na utunze uthamani wako hadi siku unaaga dunia.
Muda wote unatengeneza uthamani usichoke kupambana, usilalamike sana, usiache malengo yako na pia usipelekeshwe na mwanamke yeyote (mama yako akiwemo) ila unaweza kuwasikiliza maoni yao na usiwadharau.