UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Hakuna taasisi inayowindwa kama Kanisa Katoliki! Kama sio Kristo lisingekuwepo karne nyingi. Kanisa litashinda vita zote ...
 
Nawapenda majasiri Kama wee
 
Hakuna taasisi inayowindwa kama Kanisa Katoliki! Kama sio Kristo lisingekuwepo karne nyingi. Kanisa litashinda vita zote ...
Amina sana, kulikuwa na mapapa wachafu kuliko hata Fransisi ila kanisa linadumu na litadumu daima, napenda wakatoliki wajue kuwa ndani ya imani tuna uadui na uasi mkubwa hivyo wasikubali kuyumbishwa na misimamo ya mtu yeyote...
 
Ni kweli papa anataka kuhalalisha mashoga kuwa wasimamizi wa ubatizo na ndoa na ikiwezekana ndoa zifungwe. Na ni kweli kafukuza kazi askofu
 
Hakuna kulalamika tumuache kiongozi afanye kazi malalmiko ya nini si mnapenda wazungu nyie
 
Mbona mmechelewa sana kumshtukia
Atawapeleka korongoni
Nyie chekeni nae tu 😇
 
Mbona mmechelewa sana kumshtukia
Atawapeleka korongoni
Nyie chekeni nae tu 😇
Ninyi mbona vipofu sana,hili sio swala la Pope Francis,hizi ni sera za Dhehebu la Kikatoliki.Wake up.
 
Kuna kitu nilijifunza kwenye 'smart/intelligent thinking' na kuna vitabu vingi online vinaweza kukusaidia. Jambo muhimu kwenye 'smart/intelligent thinking/reasoning' ni kwamba you have to justify your claim. As far as I can see, unamhukumu papa Francis kutokana na maoni ya waandishi wa habari mbalimbali ambao wanamtumia kwa ajenda zao na wewe umeanguka huko. Kuna watu huwa nawapa mfano hivi: ukitaka kujua tamko la serikali likoje au limeandikwaje, huwezi kulipata Radio Rwanda au gazeti la Nation la Kenya au hata The Guardian la Tanzania. Habari za Ikulu zinapatikana kwenye tovuti ya Ikulu au kwenye vyombo vya habari vya serikali: kama vile TBC, Daily News, HabariLeo. Ukitaka kujua papa kasema nini katika jambo fulani nenda kwenye tovuti ya Vatican News au Catholic News Agency (CNA) au EWTN au National Catholic Register.

Ukisoma habari za papa BBC, CNN, CNBC, DW, VoA - ina maana umeenda kwenye secondary sources na zaidi sana utakuta habari zinaripotiwa kwa mlengo wa chombo cha habari husika. Hayo ya kusema papa ni shoga etc, hebu onyesha source yoyote ambayo ni credible ambayo imeripoti alichosema pope kuhusu ushoga. Kama wewe ni smart/intelligent thinker lete hiyo source hapa tuichambue. Na kufanya hivyo, utakuwa ume'justify' your claim. Otherwise, ulichoandika ni porojo tu kwa sababu ni mvivu wa kutafiti ila mwenye bidii ya kusema uwongo kwa sababu hutaweza kuthibitisha sehemu yoyote ambayo papa Francis ameukubali ushoga au amesema ni mzuri au kwamba hauna shida etc. Nakusubiri ulete hiyo source na kuonyesha verbatim alichosema na kilichoandikwa.
 
Actually, unalisha watu matangopori. Kama unasema pope ni mjumbe wa shetani, basi wewe ndiye shetani mwenyewe original kwa sababu sifa kuu ya shetani ni kusema uwongo na kuupamba ili uonekane ukweli. Na wewe hii sanaa ya ushetani unaiweza sana! Pole sana! Huwezi kufanikiwa dhidi ya Kanisa Takatifu Katoliki. Unajisumbua bure!
 
Only t

Kama huna akili timamu huwezi kulielewa Kanisa Katoliki na wala huwezi kuwaelewa viongozi wake, akiwemo Papa Francis. Only intelligent thinkers can grasp what the pope has so far clarified certain issues concerning the Catholic Church. Sasa endelea kuwalisha wenzako matangopori.
 
Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Papa Francis tangu day one nilikua na mashaka nae sana.
Kwa sasa nime confirm huyu papa Francis tumepigwa.
Kama una amini ndiye huyu tu umeliwa.Since day one of the Catholic Church mlikuwa mmepigwa.The Catholic Church is Satan's creation.Baada ya Shetani kushindwa msalabani,alibuni kwanza Kanisa la Roma na baadae Uislam.Hivi unadhani Shetani ni mjinga kihivyo,ashindwe msalabani,halafu anyanyue mikono, no way.Kanisa la Roma ndicho kiti cha enzi cha Shetani mkuu.
 
Exactly! They are two sides of the same coin
Poor reasoning! Na hii ndiyo shida kubwa - wachangiaji wengi humu hawana uwezo wa ku'reason'. Hivyo, wanachokifanya ni kurudiarudia maoni ya wengine na kuyafanya ya kwao without any justification.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…