UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Sikio la kufa halisikii dawa,damu yako sidaiwi mkuu.Ninachojaribu kufanya ni kukutoa katika makucha ya Shetani.Anyway,labda ingekuwa busara kuniambia nilicho andika hapo ambacho si kweli.
Sasa alichoandika cha kweli hapo ni kipi: hebu kitaje na uthibitisho ukweli wake.
 
Sasa alichoandika cha kweli hapo ni kipi: hebu kitaje na uthibitisho ukweli wake.
Mkuu comment yako ni ya ajabu,infact you are spinning around.Mimi nimeandika ukweli,wewe ndiye useme with evidence kuwa si kweli.
 
Mkuu comment yako ni ya ajabu,infact you are spinning around.Mimi nimeandika ukweli,wewe ndiye useme with evidence kuwa si kweli.
Sasa si uthibitishe huo ukweli? He who claims must prove.
 
Sasa si uthibitisho huo ukweli? Who claims must prove.
Anayesaidiwa anataka anayesaidia ndiye aende an extra mile,ajabu.Sina muda mchafu,take it or leave,wewe ndiye muhitaji.It is bad luck, that you do not know, what you do not know.
 
Anayesaidiwa anataka anayesaidia ndiye aende an extra mile,ajabu.Sina muda mchafu,take it or leave,wewe ndiye muhitaji.It is bad luck, that you do not know, what you do not know.
Huna muda kwa sababu huo ukweli unaodai haupo. Kama umeweza kuandika haya madudu ungeshindwaje kuweka huo ukweli kama upo? This is very simple logic.
 
Sina mapenzi yoyote kwa kanisa labda hujaelewa nilichoandika.

Ukitaka ukweli halisi kanisa na msikiti ndio adui namba moja wa Muafrica.

Ulaya hakuna kijana mfia dini, unajuwa kwa nini?
Kila Imani inahitaji umakini,leo hii mtu anakomaa kumwaga maji na kusahau kufanya kazi kwa bidii,kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
But in the right manner.
Yes in the right ways and manners. Mwenyezi Mungu ametuumba ili tuwe responsible na kuishi kwetu hapa duniani. Haya mambo ya kutumia dini iresponsibly ni ya kwetu wenyewe. Hatukutumwa na Mwenyezi Mungu
 
Mkuu dini tu zenyewe ni mawazo tu ya watu,wala hazina uhusiano wowote na Mungu.This means ukishaji-identify na dini umeshamtoa Mungu kwenye equation,hayupo!God wants you to come to His plan,sio wewe utengeneze mpango wako,a.k.a Denominations,halafu yeye aje kwenye mpango wako,God doesn't work like that.
 
Ukweli ni nini ? Bora ungeanza premise yako kwa kusema kwa mujibu wa Bible (kwahio wote mnaoamini Bible mkaanza kubishana) sababu ukija huku duniani kuna mtu atakwambia kwamba Bible is just a best selling Novel....
 
Wakristo wa kweli ni wale waliokuwepo mpaka Karne ya 4 kabla ROMA haijauingilia UKRISTO....
 
Pope Francis hit again, this Satan eeeh
 
Kwa sisi tuliosoma filosofi na teolojia tunaona uko mbali sana na ukweli. Hujui chochote kuhusu dini na hata hilo kanisa Katoliki nalo hulijui.
 
Kwa sisi tuliosoma filosofi na teolojia tunaona uko mbali sana na ukweli. Hujui chochote kuhusu dini na hata hilo kanisa Katoliki nalo hulijui.
Nipo tayari kujifunza kaka
Na Mimi nipe dondoo kadhaa za hiyo filosofi na teolojia

Pengine kweli sijui chochote kuhusu Kanisa katoliki
 
Vatican ndio illuminat wenyewe.Kuna siri kubwa ya uasi ndani ya ukatoliki

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
kumbe we ndo unalijua hilo leo, mi nilishahama kitambo
 
kumbe we ndo unalijua hilo leo, mi nilishahama kitambo
Unahama kwa sababu ya dhambi za papa?
Enhee utahamia makanisa mangapi makosa kama haya yakijirudia?

Kukiri kwangu madhaifu ya baadhi ya viongozi wa Kanisa hakufanyi msingi wa Kanisa uyumbe na wala hakufanyi viongozi wa makanisa mengine waonekane wema, ila neno linasema " Tuamini hiyo kweli na kweli itatuweka huru" we endelea kuhama ndugu

Najivunia sana kuwa mkatoliki, kama ni madhaifu makanisa mengine ndo yamepundukia nafuu kwetu
 
Vatican ndio illuminat wenyewe.Kuna siri kubwa ya uasi ndani ya ukatoliki

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
hakuna sehemu ambayo illuminati hawana mkono kwa taarifa
Hakuna taasisi yoyote ya kidini duniani ambayo inakosa mailluminati, hakuna taifa lolote, wala kampuni yoyote kubwa unayoijus wewe inakosa mailluminati

Kwa kifupi mfumo wa maisha ya wanadamu unaratibiwa na illuminati kuanzia dini, michezo, burudani, siasa, uchumi kwahiyo usidhani wewe kwenye hiyo Imani uliyopo uko salama la hasha

Kama wewe ni mkristu mfanye YESU KRISTU awe ndiye tumaini lako pekee na sio viongozi wako wa dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…