LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo.
Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi, majambazi, wezi, wasengenyaji, madhulmat, wauaji, nakadhalika nakadhalika.
..........
So mambo ya udini nakadhalika ni utaahira. Unakuwa vipi mdini wakati wewe mwenyewe matendo yako yanadhirisha kwamba you don't give a damn about whether God exist or not?