Kwani watu kwenda shule na kuingia darasani hiyo ina guarantee kwamba atafaulu mtihani, hapana ila juhudi kwenye kusoma ndio ina guarantee ufaulu kwenye mtihani, hivyo mwenye bidii kwenye dini ndio atayefaulu mitihaniApartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi concern wala interest kwamba Mungu yupo.
Ingekuwa kinyume chake basi kusingekuwa na : wazinzi, majambazi, wezi, wasengenyaji, madhulmat, wauaji, nakadhalika nakadhalika.
..........
So mambo ya udini nakadhalika ni utaahira. Unakuwa vipi mdini wakati wewe mwenyewe matendo yako yanadhirisha kwamba you don't give a damn about whether God exist or not?
Binadamu hawapo perfect Lakini Mungu na neno lake ni perfect.
Kama mkristo au muislamu akifanya dhambi basi ni yeye na nafsi yake ila Mungu na vitabu/dini vinabaki kuwa perfect siku zote.
Binadamu ni kiumbe dhaifu na hujifunza kutokana na makosa, Mungu kamuumba binadamu ili amuabudu na kumtii, lakini amempa free will of choice.Ukisema binadamu hayupo perfect unajaribu kuelezea Jambo gani?
Kwamba Mungu alishindwa kuumba kitu au mtu perfect au ulimwengu perfect?
hakushindwa ila kama ni mtu mmoja ndio atakaa dunia ni sawa ila kama ni wengi lazima kuwe imperfection ili kubalance kama vile puzzleUkisema binadamu hayupo perfect unajaribu kuelezea Jambo gani?
Kwamba Mungu alishindwa kuumba kitu au mtu perfect au ulimwengu perfect?
Binadamu tumeumbwa na Asili ya Dhambi!Wacha tuu tutafika kwa neema ya huyo Mungu.Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.