DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Queen darlin
Alikiba
Diamond
Abdul kiba
nandi
Chid benz
Alikiba
Diamond
Abdul kiba
nandi
Chid benz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha umweza kunifanya nitabasamuAkanandy Mwakabilinass.
Na sasa hivi ana ngoma mpya anayosema "ana nyumba kawe na kisarawe"Mkuu Kwa Madee umechemka,Madee akitoa kitu lazima kiwe Hit,sio mpenzi wa muziki wake ila Nyimbo zake nyingi zinapata airtime sana,ebu angalia nani kamwaga pombe na ile Heeeeee laaaaaaa na hii aliyofanya na NANIii siku hizi aimbi Naniii nasikia walimtekaaa wakamnaniiiiii.
Yes jamaa anatoaga hits tu,zinachezeka.Na sasa hivi ana ngoma mpya anayosema "ana nyumba kawe na kisarawe"
q chillah is my favourite artist of all times , jamaa anajua si mchezoKwa Q-Chillah unajidanganya....ile kitu nyingine. Ungeeleweka kama ungeongeza 'kama hawataacha Mawenge'
Hata mimi ndo maana bado naamini akiacha wenge he is the bestq chillah is my favourite artist of all times , jamaa anajua si mchezo