Ukweli mchungu: Wasanii wafuatao hawaji kuhit kama zamani waachane tu muziki

Queen darlin
Alikiba
Diamond
Abdul kiba
nandi
Chid benz
 
Mkuu Kwa Madee umechemka,Madee akitoa kitu lazima kiwe Hit,sio mpenzi wa muziki wake ila Nyimbo zake nyingi zinapata airtime sana,ebu angalia nani kamwaga pombe na ile Heeeeee laaaaaaa na hii aliyofanya na NANIii siku hizi aimbi Naniii nasikia walimtekaaa wakamnaniiiiii.
 
kingwendu_mapepe
bambo_kitambi
daz baba
solo thang
 
Na sasa hivi ana ngoma mpya anayosema "ana nyumba kawe na kisarawe"
 
jaamani eti Akanandy mwakabilinasπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Lady jay dee
navy kenzo
Joh makin
Fidq
bonta
lord eyes
nikki wa pili
darasa
bonge la nyau
bobjunior
top c
tox star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…