Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Mimi niliona hili tangu 2006 nilipohotimu darasa la saba, Mwalimu mkuu alipigana sana kuhakikisha anawapa majibu wanafunzi wake indirect.
Mimi sijapendezwa na ule mchezo, hakika sikushiriki. Niliona ni dhambi, pili niliona najiweza.
Sekondari 2010 wakati namaliza O -level sijaona ushiriki wa walimu kwenye kugawa majibu ila wanafunzi usiku wa Jumapili kuamkia jumatatu ya mitihani walikesha na possible za NECTA ila nahisi waliangukia pua. Maana walitoka kwenye paper la Math wakiwa wamevurugwa. Binafsi sikushiriki kwasababu za kiimani.
Nimefika A level 2013 the same situation wanafunzi walikesha na possible ila huku itakuwa walizipata zenyewe, maana niliona wamejawa furaha kila walipotoka kwenye paper moja hadi jingine.
Shule mzima tulifaulu vizuri . Wanafunzi 140 wote tulipata sifa za kujiunga na university.
Sasa hivi niko chuo fulani hapa Dar. , Bado mambo ya kuchangishana pesa kumpooza teacher nayaona. Kwakweli Watanzania wana elimu fake.
Huko Law School ukifanyika utafiti yatajulikana mengi.
Watu wengi uwezo wao mdogo lakini wanafika mpaka elimu ya juu na wengine baadaye huwa ma lectures vyuoni.
Iwekwe sheria kali juu ya udanganyifu kwenye vyumba vya mitihani kuanzia primary mpaka chuo kikuu.
Kwakufanya hivi tutapata wataalamu wa kweli. Niliongea na baba mmoja daktari mstaafu anasema hata wao walichanga kumpooza professor.