inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Alichokindika mtoa mada kwenye hii thread ni yeye na wenzie,hata maandishi yake tu yako dhahiri,dhihaka na chuki dhidi ya uislam,mwanzo alijifanya atheist baadae uzalendo ukamashinda,infact yeye ni christian version ya madai yakeHii Thread imewaongelea Watu exactly kama wewe.
Jambo la kawaida ambalo mmeshindwa kuleta mfano wake?Imagine Allah anajisifu ktk kushusha Quran bora lakini si ktk kazi kubwa kabisa kama kuumba dunia na vilivyomo😃😃.
Mwamba amekuwekea konyagi sababu Allah amefanya jambo la kawaida kama mlevi yeyote anavyoweza kufanya,kujisifia kwa jambo ambalo kimsingi sio la ajabu.
Hii inadhihirisha ujinga wako juu ya QUR'AN, Allah sw kajisifu Sana kuumba dunia na universe kwenye QUR'AN,inaelekea hujawahi hata kuisoma,zamani tulikua tukigaiwa bible shuleni na ofisi za umma,ili tubatizwe,tukaisoma,tukaanza kukosoa,wakatupiga risasi kupitia jeshi la polisi na kutufunga hela,najua una chuki na uislam na hujawahi ishika QUR'AN,zipo soft copies siku hizi, download, soma ili uwe kwenye position nzuri zaidi ya kupingaImagine Allah anajisifu ktk kushusha Quran bora lakini si ktk kazi kubwa kabisa kama kuumba dunia na vilivyomo😃😃.
Mwamba amekuwekea konyagi sababu Allah amefanya jambo la kawaida kama mlevi yeyote anavyoweza kufanya,kujisifia kwa jambo ambalo kimsingi sio la ajabu.
Amri Kumi alizopewa Musa ziliandikwa na Mungu Mwenyewe kwenye Jiwe.Mungu haandiki bana acheni fiksi na uongo wa hali ya juu sana.
Musa ilikuwa miaka 3000 iliyopita je kabla ya hapo Mungu alikuwa wapi au alikuwa hajali?!Amri Kumi alizopewa Musa ziliandikwa na Mungu Mwenyewe kwenye Jiwe.
Sema Allah haandiki.
Mungu alikuwa anatoa maagizo na Amri zake kutokana na kuongezeka kwa idadi ya Binadamu.Musa ilikuwa miaka 3000 iliyopita je kabla ya hapo Mungu alikuwa wapi au alikuwa hajali?!
Kibiti mahandaki yalichimbwa hadi misikitini ikiwa ni pamoja na kukusanya vijana kutoka maeneo mbalimbali. Viongozi wabovu na waongo wapo dini zote hata ndani ya Uislam. Kwani akina shehe Sharif Majini, Dkt Manyaunyau si matepeli tu huku mjini??Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu
Ndio kwahiyo,??? Tunajifunza nini
Kwahiyo pia unaaminini umri wa Dunia ni miaka 4000?!Mungu alikuwa anatoa maagizo na Amri zake kutokana na kuongezeka kwa idadi ya Binadamu.
Adam alivyo kuwa peke yake hawezi kuambiwa
"USIZINI"
Adam ni hadithi za kufikirika ni sawa na kusema Baba Zeus baba ake nani wakati hiyo habari zimenza kwake kwa kumchagua Adam kuwa wa mwanzo kwa Maneno rahisi hadithi ni habari za kutungwa tu hakuna kweli yoyoteKwani Adam alizaliwa na Baba gani we shetani?
Tz Mbogo vp long time no see you bado unaenda kupoteza muda kanisani au msikitini kuabudu hewa yaan kinyago umekichonga ww tena unakiogopaWewe umejuaje kuwa hajawahi kuwepo?
Kwa hiyo karne 21 bado unaamini bible au Quran pamoja na uongo wa vitabu hivyoUnaweza ukanieleza sababu ya hao watunzi kujaza mambo mengi kwenye hivyo vitabu hata ambayo hata waumini wa zama hizo hawakuweza kuyaelewa vizuri? Kulikuwa na ulazima gani kufanya hivyo?
Ushahidi huu hapa!Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Ancient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Uisilamu ni Mila ya Ibrahim, mtume anakuja amewakuta watu wanaofuata dini ya Ibrahim hapo mecca. Mtume wote kina Musa, Yesu etc walikuwa wakifuata mfumo wa maisha ambao ndio huo waisilamu wanafuata leo.Acha fiksi Uislam umekuja miaka 600 baada ya Ukristo na mwanzilishi wa Uislam ni Mohammad Abdula bin Mutalib kabla ya hapo hakuna dini ikiitwa Islam so don't lie kwamba hao kina Selemani na David walikua muslims ni uongo!
Uisilamu ni Mila ya Ibrahim, mtume anakuja amewakuta watu wanaofuata dini ya Ibrahim hapo mecca. Mtume wote kina Musa, Yesu etc walikuwa wakifuata mfumo wa maisha ambao ndio huo waisilamu wanafuata leo.Acha fiksi Uislam umekuja miaka 600 baada ya Ukristo na mwanzilishi wa Uislam ni Mohammad Abdula bin Mutalib kabla ya hapo hakuna dini ikiitwa Islam so don't lie kwamba hao kina Selemani na David walikua muslims ni uongo!