Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Nimekuuliza swali mmakonde akisema Nchale na wewe Ukisema Mshale ni tofauti? Ama ni dialect za kiswahili tu? Kiarabu ni lugha pana neno moja linatamkwa tofauti baina ya eneo na eneo sababu neno hilo hilo huyu katamka hivi na yule katamka vingine haimaanishi ni neno tofauti maana ile ile ila utamkaji tofauti.
Kama atatamka nchale akimaanisha mshale ktk kitabu cha kiswahili kilichoandikwa mshale sina shida.
Tatizo ni kitabu chake cha kiswahili kikija kimeandikwa nchale badala ya mshale,na nchale ikisimama kwa maana nyingine.

Naweza nisiwe mkali kwake,lakini sitajigamba kwamba kitabu cha kiswahili popote kilipo ni neno kwa neno maana kwa maana.
 
Hiyo kauli yako hapo juu inadhihirisha ujinga na chuki iliyopitiliza.
Nachukuia upumbavu sana,upumbavu ni laana.
Na ukiona mtu unamwonyesha upumbavu anakuvumilia usimhesabu kama ndugu hakupendi wala hakujali.mimi nakujali wewe na waislam wengine wote.
Pamoja na tofauti za kiitikadi, sote tunaunganishwa na ubinadamu.
ubinaadam ndio unafanya napoteza nguvu hapa kujaribu kukuweka sawa wewe na wengine.sio jambo la busara kuona binaadam mwenzako yuko step moja shimoni unamuangalia.
Huwezi kuwa na akili timamu kisha ukaongea kauli kama hiyo., uwezo wa kujenga hoja hautegemei dini, kabila, jinsia na kadhalika bali ni uwezo ambao huwa ndani ya mtu regardless of racial, gender, religion etc.
😁😁😁utanichukia bure,lakini lazima ukweli nikwambie,hii dini kukuta mtu ana uwezo mzuri wa kutafakari ni nadra sana,ni mara moja ataiacha.utakutana na watu watulivu tu lakini sio makini.
 
Waislamu wengi wanaamini Majini na kuagua..yaaji kisomo.

ukipata nyumba dogo kwa jina ya Havijawa, hadija, hawa, sikidhan....kazi unayo ndugu utakula makolokolo kibao hadi ukome.. Na ukizunaa kwa mkeo hurud ha ha ha

.utasikia heee ana jini wake huyo mkali kama nini...akipanda tu basi ujue bwana ake ana malaya mwingine Guesti
 
Mkuu Waarabu waliokuja East Africa ni wa Oman, uisilamu wao unaitwa Ibadhi, kwa Tanzania waisilamu ambao ni Ibadhi haifiki hata 0.1%.

Waisilamu ambao wapo Tanzania asilimia kubwa ni Sunni, uisilamu ambao upo practiced worldwide.

Ukisoma Historia ya Tanzania wakati wa vita na wareno kabla ya Oman kuja kuwa piga wareno,waisilamu wa East Africa waliomba msaada Kwenye khilafa akatumwa kamanda kuwasaidia wakapigwa, huu ni ushahidi kwamba uisilamu ulikuwepo kabla ya Waarabu/wazungu kuja Pwani hii.

Hii Ramani ya Africa ikionesha connection ya East Africa na Mecca/Madina.
View attachment 3037573
Mfalme Najash ambae alipokea waisilamu wakati wanauliwa Empire yake ya Aksum ilikuwa Eritrea/Ethiopia ya Leo,

Hii picha ya Msikiti wa Somalia ambao unaelekea Jerusalem, Kibla kilibadilishwa toka Jerusalem kwenda Mecca wakati bado mtume yupo hadi, Ushahidi kwamba kulikua na waisilamu ukanda wetu wakati mtume bado yupo Hai

View attachment 3037574
Aaaaah wapi!! Huo upuuzi umeletwa na waarabu Acha kutonyesha mapichapicha na upuuzi wa kikristo umeletwa na wazungu, lengo lile lile kuwa brainwash waafrika na kuwatawala kupitia imani zao za hadithi za kubuni. We mimi hadithi za maisha ya Issa au Mwamedi inanisaidia nini?? Mtu unatakiwa uamini tu yaliyoandikwa eti usihoji!! Ujinga mtupu!
 
Kwamba ni timeless, miaka 1000 iliopita mtu kaitumia kama way of life mpaka leo inatumika, watu kibao wana badili dini kila Kikicha kufuata, watu ambao wamekamilisha mengi duniani ila wakipata muda wa kuisoma Quran wa naona ukweli walio miss kwenye maisha yao.

Just imagine matrilioni ya pesa yanayotumima kuchafua uisilamu, zaidi ya 99% movies zote inaongelea vibaya uisilamu, media na propaganda kibao ila still ndio kwanza unakua kwa kasi, kumelipuliwa Usa na lawama zote akapewa uisilamu matokeo yake watu wamezidi kuwa interested na uisilamu na kuanza kusoma Quran na idadi ya wanaosilimu kuongezeka.
Hakuna kitu kama hicho chief, waislamu hamjawahi kuwa na Quran 1 pekee. So far mna Quran zaidi ya 17 japo madrassa mnafundishwa kuhusu Quran 1. Yassir Qadhi anasema your standard narrative has holes in it .Alishindwa hata kumjibu Mohamed HIijab kwamba ipi ni perfect mus haf.
 
There is no way leo hii mtu timamu kiakili utamwambia kiongozi wa Uma,mfano wa waislam alioa mtoto wa miaka 6 kisha akiwa timamu kiakili akakubali kuifata dini hiyo,watu wanaofata uislam kwa sasa,ni wale wenye malengo yao na uma wa kiislam au wana matatizo ya akili.
Tumewaona watu wanasilimu kama fasion,maana wana uhakika hata acc zao za mitandao ya kijamii zitapata ufwatiliaji zaidi.

Hizi dhana pia ziko misikitini huko,ndiko mnaamini uislam unachafuliwa,mkibanwa kisawa sawa mnajibu waislam sio uislam.kama wanatenda makosa wahukumiwe kama waislam sio uislam wenyewe.

Hata swala la idadi ya wanaosilimu ni mtambuka,sababu wanaoachana na uislam hawajulikani idadi yao sio jambo la kifahari kulitaja kila unapopata nafasi.
Karne hii ya 21 bado unaamini hakuna data lol?

Pewpew reaserch na makampuni kibao wana data za Ulaya, Zipo za Usa na maeneo kibao maana ukipewa data za Asia utasema zimepikwa.

Uisilamu ndio dini pekee ambayo haina negative gain according to pew pew.

According to New York times 25% ya Waisilamu wa Usa ni kwa conversion

According to Huffing post Takriban watu 20,000 wana badili dini kuwa waisilamu Usa kila mwaka

According to. Pew pew tena uisilamu una net conversion 420,000 (wanaosilimu - wanaoritadi)

According to CNN watu 30,000 wana convert kila mwaka kwenda uisilamu Usa

According to Guardian watu 5000 wanasilimu kila mwaka Uingereza

Kwa miaka 6 inakadiriwa watu 100,000 wamesilimu ufaransa

So data zipo nyingi mno. Na tumeona watu wakubwa mno ambao hawana shida na maisha dunia hii wakisilmu, so uisilamu ndio dini pekee ambayo inagusa watu wote kuanzia matajiri hadi masikini, Waliofanikiwa hadi wenye shida. Hufanikiwi yote haya kwa Kuwa na kitabu dhaifu.
 
Karne hii ya 21 bado unaamini hakuna data lol?

Pewpew reaserch na makampuni kibao wana data za Ulaya, Zipo za Usa na maeneo kibao maana ukipewa data za Asia utasema zimepikwa.
Sijui kama unaelewa???nimekwambia unajua pia wanaocha uislam ni wangapi,au muhimu ni kufurahi tu???wanoingia ktk uislam ni ktk maana ya kuijua kweli au wanaingia kwa manufaa na kama fasion??

Kwa sasa uislam unapitia ktk tanuru kali sana"INTERNET"ambapo haujawahi kupitia toka usikike kwa mara ya kwanza.kwahiyo matokeo yanaweza kukushangaza miaka 20 au 30 ijayo,omba uzima.

Uisilamu ndio dini pekee ambayo haina negative gain according to pew pew.
Fatilia nchi zilizokuwa na uislam imara kama iran uone nini kinaendelea,sisi tunaona watu wanahamia tu ktk uislam,ila waislam wenyews ndio hawa akina tate na tyson wanavuta na bangi,basi tunabaki kucheka tu😁😁
According to New York times 25% ya Waisilamu wa Usa ni kwa conversion
wacha tuongeze kabisa iwe 50% swali wamehamia ktk uislam kama njia ya kweli au fassion??
According to Huffing post Takriban watu 20,000 wana badili dini kuwa waisilamu Usa kila mwaka

au watu 100k wanabadili dini kila mwezi kuingia uislam kila mwaka US peke yake,hii ina prove vipi kwamba uislam ni dini ya kweli.
According to. Pew pew tena uisilamu una net conversion 420,000 (wanaosilimu - wanaoritadi)

According to CNN watu 30,000 wana convert kila mwaka kwenda uisilamu Usa

According to Guardian watu 5000 wanasilimu kila mwaka Uingereza

Kwa miaka 6 inakadiriwa watu 100,000 wamesilimu ufaransa

So data zipo nyingi mno. Na tumeona watu wakubwa mno ambao hawana shida na maisha dunia hii wakisilmu, so uisilamu ndio dini pekee ambayo inagusa watu wote kuanzia matajiri hadi masikini, Waliofanikiwa hadi wenye shida. Hufanikiwi yote haya kwa Kuwa na kitabu dhaifu.
Hakika kabisa,watu kama akina tate na akina tyson,snoop,khaled,nk ni waislam wazuri kabisa pale marekani na huwaambii kitu kuhusu dini.

Yaani ulimwengu huu wa watu kukengeuka,mara freemason LBTQ nk,unafurahia wahuni kuingia ktk dini yako!!!!

Ndio maana nyinyi wenzetu tunasema mna uchache sana wa elimu ya kiroho,kwa mkristo hii ni ishara nyingine mbaya kabisa kwamba Uislam ndio njia sahihi kwa waendao motoni.

Nyinyi mtume wenu kawaambia mkazaane muongezeke muitawale dunia kitu ambacho hakitatimia hata hivyo,lakini sisi tumeambiwa siku za mwisho watu makundi kwa makundi watajitenga na ukweli,watafata njia zao wenyewe,kwahiyo ukihisi hiki kitu ni threat kwetu big NO ni unabii unatimia.
 
Karne hii ya 21 bado unaamini hakuna data lol?

Pewpew reaserch na makampuni kibao wana data za Ulaya, Zipo za Usa na maeneo kibao maana ukipewa data za Asia utasema zimepikwa.

Uisilamu ndio dini pekee ambayo haina negative gain according to pew pew.

According to New York times 25% ya Waisilamu wa Usa ni kwa conversion

According to Huffing post Takriban watu 20,000 wana badili dini kuwa waisilamu Usa kila mwaka

According to. Pew pew tena uisilamu una net conversion 420,000 (wanaosilimu - wanaoritadi)

According to CNN watu 30,000 wana convert kila mwaka kwenda uisilamu Usa

According to Guardian watu 5000 wanasilimu kila mwaka Uingereza

Kwa miaka 6 inakadiriwa watu 100,000 wamesilimu ufaransa

So data zipo nyingi mno. Na tumeona watu wakubwa mno ambao hawana shida na maisha dunia hii wakisilmu, so uisilamu ndio dini pekee ambayo inagusa watu wote kuanzia matajiri hadi masikini, Waliofanikiwa hadi wenye shida. Hufanikiwi yote haya kwa Kuwa na kitabu dhaifu.

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.

Ajabu ni kwamba hata katika mitihani inayoukumba Ummah bado inakuwa sababu ya watu wengi kuijua haqq. Genocide ya Gaza imewafanya watu wengi kuanza kuisoma Qur'an katika nchi za magharibi kujaribu kuelewa resilience ya wapalestina. Mtu anashangaa inakuwaje mtu anapigwa mabomu inakufa familia yake halafu anamtukuza Allah na kumsifu na ana matumaini makubwa. Sio kitu cha kawaida kwa wamagharibi wengi ambao kuna kiwango kikubwa cha suicide miongoni mwao. Mtu akipata mtihani kidogo tu miongoni mwao anakuwa na mashaka na mara awe atheist au agnostic. Hivyo resilience ya waislam wa palestina inawashangaza. Wanaanza kuitafuta Qur'an kuisoma wajaribu kujua sababu, ndio unakuta wengine wanaongoka.

Licha ya matusi yote unaotukanwa Uislam na Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) bado Uislam una vuta mioyo ya watu wengi, Al hamdulillah. Licha ya Uislam kusemwa kuwa unaruhusu mtu kuoa/kuolewa mapema, unapinga mapenzi ya jinsia moja, na kadhalika bado watu wanaufuatilia na kusilimu kwa wingi. Watu wanafuatilia na kugundua kuwa wanaousema Uislam vibaya wanafanya dhulma tu. Kama kuoa na kuolewa mapema ni jambo ambalo limeenea duniani kote na kwa zama zote. Na hakuna makubaliano ya binadamu wote ni umri upi wa kuoa na kuolewa na kwamba miaka 18, 16 au 14 au whatever kuwa umri wa utu uzima ni jambo la karne ya 20 tu hapo.

Ukweli ni kwamba Uislam haujashusha standards zake na kuharibu fundamentals zake ili ku stay relevant tofauti na ukristo unaojitahidi kwenda na kila upepo.

Kilichobaki ni husda na chuki za maadui wa Uislam badala ya kuikubali haqq wanaichukia na kuipiga vita. Watu wa mrengo wa kulia huko magharibi wanapambana na kushtushwa na kuenea kwa Uislam. Wako desperate. Ndio wanaanza kutupa matusi desperately wakati mwengine utawasikia wanawaambia wenzao kuhusu Waislam "kwanza hawa wanapinga hata ushoga, hivyo hawana uhuru tulionao" wakati huo huo wao wanajidai kupinga ushoga. Mara wamchafue Mtume kwa kumuoa Bibi 'Aisha akiwa na miaka 6 lakini wakati huo huo watawatukuza na kuwa na nostalgia na akina King Richard aliyemuoa Isabella akiwa na miaka 6 na Christian figures wengine wengi ambao "Conservatives" na "Right wing" wanawa admire. Hawako consistent na hawako honest. Na wala hawatashinda katika propaganda zao.

Allah awape nusra Waislam.

Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam. Neema ya Tawheed na Sunnah.
 
Ameen, well said mkuu
 
Pale inasomwa Qur an ndugu , kaangalie hutuba inasomwa kwa lugha gani 😀 😀 😀 ...Ile ya kiarabu ndio OG kama livyoshuka ndio maana inasomwa vile .

Ulishawahi kuona mawaidha ya kiarabu , hata wataje ayah basi wanatafsiri , tofautisha Qur an inasomwa kama ilivyoshuka ila sisi ndio tunajua maana yake .
Basi asili ya uislamu ni uarabu hili halina wa kupinga ndugu, Arabic......allah wakbar.....Quran haiwezi kushuka kwa lugha ya kiarabu bila sababu.....
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Ancient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Kwa haraka haraka unaweza kudhani mtoa mada kaandika kitu cha msingi sana kumbe hata hana anachojua kuhusu uislamu. Nimefuatilia moja ya comment yake kumbe hadi Leo hajui kama mbegu pia zinatoka mgongoni na kwenye mbavu! Mtoa mada ulishawai kupiga puli au nyeto.????? Unajisikiaje kwenye mbavu manii zinapotoka.???

Mshenzi kabisa Huna unachojua kuhusu uislamu unatakiwa kufundishwa na sio unachukua aya moja unatafsiri vile unavyoka kwa uelewa wako
Hizo aya za quran zimekuja kwa sababu mbali mbali na visa mbalimbali kabla ya kushushwa
 
Wewe Unajua nini ambacho mimi sijui hizo hadithi za Watu wa jangwani?
Pumbaf elimu ipo wazi kwamba nisijue kuhusu Uislam kwani ulikuja toka Sayari ya pluto?
Ndio maana tunawashauri muingie class mjifunze historia ya dini yenu iloyoanzishwa na mjanja wa kale Mohammad Abdula bin Mutalib na causin wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal!
Acha makasiriko Kafir wa Nanjilinji!

Umeona ujinga wako ulipo.? Yan mpaka Leo unadhani uislamu umeanzishwa na mtume Muhammad swalahullahu alaih wasalam. Wakati yeye alikuwa anaendeleza uislamu ndio dini ya kwanza na dini ya Allah.

Ndio maana nabii Adamu ni muislamu na mke wake hawa na wao ndio viumbe wa kwanza duniani

Sikwambii wakina nabii yusuf ,Ibrahim na musa mana ntakuchanganyia mafile
 
Hicho sio kitabu Cha mwisho, kazi ilianza na Mungu kazi na iliisha na Mungu kupitia Yesu Kristo.

Na Yesu alishatuonya juu ya manabii wa uongo kama wa kwenu. Manabii Mungu ndie alikua anawaleta, mtume wenu katumwa na nani?

Mtu alieoa katoto alitumwa na nani? Huyo alikua na agenda zake za shetani. Hakuna uhusiano kati yake na MUNGU wetu.
 
Attachments

  • VID-20240713-WA0018.mp4
    2.4 MB
Back
Top Bottom