Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Umeongelea utamaduni wa watu zilikokopiwa Dini? Way of living siyo Dini. Dini ililetwa na kitabu kutoka juu akapewa mtu ayapokee mafunzo Yale, awafunze wengine. Usilazimishe kuwa kabla ya ujio wa kitabu alikielewa kitabu!
 
Acha fiksi Uislam umekuja miaka 600 baada ya Ukristo na mwanzilishi wa Uislam ni Mohammad Abdula bin Mutalib kabla ya hapo hakuna dini ikiitwa Islam so don't lie kwamba hao kina Selemani na David walikua muslims ni uongo!
Uisilamu ni Mila ya Ibrahim, mtume anakuja amewakuta watu wanaofuata dini ya Ibrahim hapo mecca. Mtume wote kina Musa, Yesu etc walikuwa wakifuata mfumo wa maisha ambao ndio huo waisilamu wanafuata leo.

Nimewapa Challenge huko juu, Soma Biblia usifuate wakristo Wanavyofanya, tafuta elimu wakristo wa zamani waliabudu vipi, waliishi vipi Automatic utajua hii sio Fiksi.

Mfano hii video ni priest anaonesha wakristo wa zamani walikua wakiswali vipi
View attachment 3038834

Niambie mkuu Yesu na wakristo wa Mwanzo walikua wakiabudu hivyo, je wakristo wa Sasa wanaabudu hivyo? Kama hawaabudu hivyo kwa nini? Ni dini gani leo inaabudu kama hivyo? Je Yesu sio Dini moja na wanaoswali hivyo?
 
Umeongelea utamaduni wa watu zilikokopiwa Dini? Way of living siyo Dini. Dini ililetwa na kitabu kutoka juu akapewa mtu ayapokee mafunzo Yale, awafunze wengine. Usilazimishe kuwa kabla ya ujio wa kitabu alikielewa kitabu!
Dini ni way of life, kila unachofanya toka unapoamka hadi unapolala. Kama unahisi dini ni kitu kingine hayo ni mawazo yako tofauti. Ila according to Uisilamu dini ni way of life na hata Scholary source nyingi zinakubaliana na hili
 
Tz Mbogo vp long time no see you bado unaenda kupoteza muda kanisani au msikitini kuabudu hewa yaan kinyago umekichonga ww tena unakiogopa
Unaniambia naenda kupoteza muda? Kwani kuna muongozo wa vp muda utumike?

Issue sio kuabudu au kutokuabudu maana wapo wenye kuamini Mungu na hawaabudu. Mimi na wewe tumezaliwa tumeikuta hii mivutano ya kuwepo ama kutokuwepo kwa Mungu, na tumeshuhudia wakana Mungu kuja kuwa waamini Mungu na waamini Mungu kuja kuwa wakanaji Mungu.
 

Uwezo wa Dini Ni upi? Je unategemea uwezo wa
Dini ni way of life, kila unachofanya toka unapoamka hadi unapolala. Kama unahisi dini ni kitu kingine hayo ni mawazo yako tofauti. Ila according to Uisilamu dini ni way of life na hata Scholary source nyingi zinakubaliana na hili
Hapo Sawa, umekuja kuwa sahihi kuwa maisha ya watu wa Uyahudi wa wakati huo siyo lazima yawe ndio Dini fulani. Bali Ile Mungu na mtu, hiyo connection ndiyo huitwa imani, siyo lazima uwe wa Jina Fulani la Dini. That's Good. Siyo watu wanafikiri wengine hawako Sawa just because they're not practising their way of living!
Fikiria Mungu hata hatuko busy na waliopotea au waliopatia Bali wote hupewa Sawa.
 
Hivi ulichokiandika umekisoma ?

Hakuna watu waliodhibiti historia yao kuanzia dini mpaka tamaduni kuzidi waislamu.

Ili uone hilo, tuletee vitabu vya historia za dini nyingine, ututajie waandishi, majina ya vitabu na mwaka waalio zaliwa na kua’ kisha mimi nikuletee vitabu vyetu. Huo upande wa historia kisha upande mwingine kwa utaratibu huo huo.
 
LETENI hoja humu, kama mtu huna hoja unachojua ni ku quote tu Video bila maelezo yoyote ya maana bora hata usiniquote. Siwezi kaa niangalie mpuuzi sababu anajua kutumia Camera anipotezee muda wangu.
Kama huna bundle ni issue ya kuongea,sio unaleta makasiriko.
Ktk video maelezo.

ndugu yako kakutwa anahubiri dini,anachambua Quran kwamba haijawahi kubadilika,imehifadhiwa neno kwa neno kama lilivyo na wala haina tofauti kati ya Quran moja na nyingine.

Mpwa akamletea Quran 2,zenye maneno 2 tofauti kimaana na kimuktadha,akaanza kumwambia hajui kiarabuπŸ˜†πŸ˜†.
 
Kwani nini mnatumia lugha ya kiarabu kwenye kuswali wakati mpo Tanzania πŸ˜…
Pale inasomwa Qur an ndugu , kaangalie hutuba inasomwa kwa lugha gani πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ...Ile ya kiarabu ndio OG kama livyoshuka ndio maana inasomwa vile .

Ulishawahi kuona mawaidha ya kiarabu , hata wataje ayah basi wanatafsiri , tofautisha Qur an inasomwa kama ilivyoshuka ila sisi ndio tunajua maana yake .
 
Hapo kwenye mambo ya kiroho ndo umefeli..... We Islam are really spiritual masters halafu tunafatiwa na jews!!

Kuona visivyoonekana, kuongea na spirit (ruuh), kupaa bila kifaa chochote, kufanya maajabu hapa ndo sehemu yake

Note: yote hayo sisi hufanya kwa kumtaja Mwenyezi Mungu pekee..
(Islam ndio dini pekee ambayo bado ina ule uchaji Mungu wa kwenye vitabu, Yani ile imani Kama watu wa zamani)

Mfano: idadi ya swala ndani ya mwezi mmoja
1. Islam ...... 150
2. Jews......90
3.Christian... 4

(Nadhani tofauti unaweza itizama hata kama ni mjinga kias gani🚢
 
Usichinje Wenzako au kuwalipua kwa Mabomu kwasababu ati Qurani imeandikwa hivyo, Quran sio DIRECT WORD OF GOD.

Yaani Mungu atuumbe sisi Waafrika halafu adai tumuombe Kiarabu na tufuate Mila za Mabedui wa Jangwani jichungeni mnafanyiwa Arabization kama Wasudani.
 
Si ulete huo ushahidi hapa

Mfano andika Quran ya kwanza inatumika wapi na Quran ya pili inatumika wapi na utofauti ni upi.

Kusema tu kuna Quran mbili ni hoja ya kitoto kabisa.

Na sio issue ya bundle si kila mtu humu ni mpuuzi angalie video dk 20 ama 30 ya mtu ambaye hana elimu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…