Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Uliyeandikaa hafa gala mkubwa Na tutakutafutaa tukushikishee Adabu..Wivuu tuuu kajinyooonge basi
 
Punguaniiii mkubwaaaaa wewe haaa Rohook zinawaumaaaaa Na mtaumwa saana Na Dawa Hakunaaaa
 
Wanaume wa dar ktk ubora wenu..hata haiitajiki dna kujua huyu mtoto ni wa nan
hilo domo tu
 
hii DNA sauzi inawalakini!!!/
KUMBE DOMO NDO KAOLEWA.

....unajua kabisa demu ana jamaa yake anaitwa IVAN how can you fall.
 
Waacheni Na maisha yao, mbona mnawaonea wivu??
 
mi nilifikiri kuna picha inaonyesha zari kwenda kutoa mahari kwa kina diamond, kumbe ni nonsense tupu,kweli hizi ndio story zinawapotezea muda mwingi vijana wa dar badala ya kufanya vitu vya maendeleo
 
hebu toka kwanza huko chooni, am sure bdo umechuchumaa.
 
Yaweza kuwa we ni kapuku tu huna hata hela ya kula lakini uko unahangaika na maisha ya ndani ya watu..olewa na wewe basi!!
 
Nawewe umeolewa na nani mrembo..
 
Duh kila mtu na maisha yake, sasa we mleta uzi yanakuhusu nini?
 
Huku siyo badoo Mkuu! Hebu Kua Na Adabu kidogo basi, Au unafikiri wote humu Ni wacheza pool table mchana?


Naona unashoboka sana wewe mbona hushine??

Unamsifiaje mwanaume mwenzio?? Tumia Akili
 
Ila swali kubwa nu kuuliza kwamba je wewe ungekuwa Naseeb Abdul ungekubali kuzaa na mwanamke mwenye watoto watatu tayari na mwanaume mwingine na uishi naye kinyumba ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…