Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Mkuu UOTE="Jizi, post: 15674458, member: 346076"]Aliyekutuma mwambie Tanzania imejipanga,hatukujibu watafute waganda wenzako ndio uwalishe hiyo habari.[/QUOTE]
Mkuu haya mambo si ni private?? Una maana gani kusema Tanzania imejipanga??
 
Maandishi yote yana rangi ilio jaa wivu mtupu....[emoji15]
Alafu.......
Sjui kwanini nimesoma huu uzi
Agghhhh.....[emoji187]
Ebu ngoja kwanza
 
Iwe kweli isiwe kweli , Hayanisaidii kitu katika harakati zangu za kutafuta pesa.
Kumbe unatafuta pesa? Muone falcon mombasa atakufunza namna au nenda arusha kwa batee. Nyang'@u wewe
 
Kumbe unatafuta pesa? Muone falcon mombasa atakufunza namna au nenda arusha kwa batee. Nyang'@u wewe

Kabisa natafuta pessa afu nikuhonge, niendelee kukutepetesha ... unatanua kwa pesa zangu afu unaleta kelele ... kenge kweli wewe!
 
kwa staili hii ya mawazo hakika mashoga watazidi kuongezeka......
 
Hapa nimeingia kwenye jukwaa la Uganda ngoja niwasubiri watanzania wenzangu turudi bongo
Aliyekutuma mwambie Tanzania imejipanga,hatukujibu watafute waganda wenzako ndio uwalishe hiyo habari.
Mleta uzi we ni popoma kweli kazi kufuatilia maisha ya watu huna kazi ya kufanya afu dnd ndo nini?
Eti ``hakili``
Hata kuhandika hujuhi kajifunze kuhandika ndiho huje na humbeha wako
Noises of the door cant make the owner of the house to have no bed rest.
....na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga....
Pumbavu Kweli wewe! Na wewe Nenda kamuoe basi..!!! Halafu ujinga ujinga Kama huu uwe unaishia huko huko FB.. !


Mmemimd

Huo ndo ukweli jamaa kalenga mulemule
 
Nimeshasema na nitasema vijana acheni ujinga. Somen muelewe atupo kwenye ngoma apa. Niujinga kusema eti Diamönd anapesa pasipokuwa mapato na matumizi. Tukiweka apa wote mtaaibika. Msion watu wanachukua poa. Mkubal mwanamke kaoa kama hamtaki kula boda
 
Inasikitisha sana pale mtu anapokaa kuandika uzi mrefu kumkandia mwenzie ambae nina hakika hamjui binafsi zaidi ya kimziki. Mbaya zaidi ni kuwa anakandia mtu ambae anavyo alivyoachieve na vinajulikana. Utakuta mtoa mada hana hata baiskeli na analala ukumbini kwa shangazi yake lakini kwa vile kapata kifurushi cha chuo basi anaanza kubwatuka ili tu nafsi yake ijiridhishe kuwa kuna makapuku kama yeye.

Inawezekana Diamond hana pesa ama kauli kulinganisha na Ivan au Zari, lakini swali linakuja kwako mto mada imekuathiri vipi katika muendelezo wa maisha yako ya kila siku labda?

Inauma sana kuwa hii ndio nguvu kazi ya TZ.
 
Nimeshasema na nitasema vijana acheni ujinga. Somen muelewe atupo kwenye ngoma apa. Niujinga kusema eti Diamönd anapesa pasipokuwa mapato na matumizi. Tukiweka apa wote mtaaibika. Msion watu wanachukua poa. Mkubal mwanamke kaoa kama hamtaki kula boda
Nadhani ulitaka uolewe wewe. Tafuta Ivan ikuwowe ukipata hela utaolewa Na wewe kisha upate utamu wa kuambiwa mumeo umemuwowa.
 
Jamani hivi kumbe kaka ndio kaolewa badala ya dada? nimekuwa nikipita kwenye mitandao kufuwatilia ukweli nikagunduwa ukweli,
Facts hizi hapa

Ivan mume wa zari alichukua poa kwa zari kumfuwata diamodi na ktk maojiano na vyombo vya habari jamaa anaonyesha kumdharau kijan Diamond kwa kukurupukia mapenzi ya watu wakati hajuwi ukweli, mtonyaji anasema mshikaji anajuwa ndani nje za zari hivyo domo atashika pembe huku wenzake wakipata ziwa heheheheeheh....

Diamondi kwenda Uganda alichukuliwa na gari la kifahari la zari ambalo hata yeye hana, kwanza kabla yakufika Uganda alipigwa bit na mpenziwe Zari hakuna kuongea na vyombo vya habari kama unabisha tafuta kilp yeyote alio ongea dom na vyombo vya habari alipo enda Uganda, mtonyaji anasema wenye mke walipiga bit akizungumza tu wangemuaribu dom na huyo bi zari. heheheheheheheeheh jamani kaka akichukuliwa picha na paparazzi wa Uganda ananekana kazungukwa na baunsa ili asije ropoka.....

Ktk kile kinaonekana wenye mke kumchafuwa diamond alikutana na kashifa yakumdhulum mwanamziki Fulani dom alijikuta wakai mgum ktk kujitetea

jaman kweli Diamond akapimwe akili uwenda hata yule mtoto sio wake kama kweli waka pime DNA YA MTOTO NA BABA Tz pale ocean road ambapo ukweli utajulikana na sio SA kuficha ukweli........

Angalia picha zote za ivani akiwa na zari yan ivan anakula denda wazi wazi ila kaka hakuna picha anamuinamisha zari na kula denda kama mwenzake yani full kuolewa kakakakaakakkakakaakak.

Diamond hana pesa yakumpa zari yani uniamini mimi wala zari hana kitu anapoteza kuhusu Diamond na kiukweli diamond hana say kwa zari wala hana mamlaka za zari kama unabisha subiri uone ktk nyakati tofauti malezi ya zari kwa diamond yamemfanya diamond kuwa kama mnyonge pesa apate wapi kaka uyo zari waliokuwa wanampa kazi nakumuendesha ni akina Ivan jamaa ndio kiburi dume la ng'ombe hata sasa zari hutomsikia anamtukana au anamsema vibya njooo mh aseme vibaya kama kidume ajamuharibu, yani inatia huruma kwa kaka amepatikana,

Hatakiwi kumchosha dada akizidi kila mu chumba yake. heheheheheehehehehe natania ila kweli

mtonjaji hafungwi yote nimeandika yapo kwenye mtandao
Wewe kichaa kweli
 
Nimeshasema na nitasema vijana acheni ujinga. Somen muelewe atupo kwenye ngoma apa. Niujinga kusema eti Diamönd anapesa pasipokuwa mapato na matumizi. Tukiweka apa wote mtaaibika. Msion watu wanachukua poa. Mkubal mwanamke kaoa kama hamtaki kula boda
Kwa hiyo? Kama Mwanamke ka oa wewe shida yako nini?
 
Watu hampingi hoja kwa facts ila mmebaki kurusha mawe baada yakushindwa ngumi. Pingine hoja diamöd hajaolewa maana tamadun zetu afrika mwanaume ndie anaowa wala sio kuolewa. Kama kwel yeye nikidume kuliko mwenzake leten facts.

Haya nawaöngezeen doz, ukifuwatilia histor ya Zari hakuna jambo jipya Diamond kaleta ktk maisha ya huyo mam. Mwanamke anakizaz chake fresh nawenye nguvu zao walisha zalisha diamönd kadandia tren. Ndio maana nasema msitoe mapovu leten facts kupinga.
 
Back
Top Bottom