Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

ac
Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!
acha ukwae angalia hii wanaume wanatumia achene ukware
you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY
cc diamond
 
Cheki mimacho inavokutoka ....sasa hapo kinachokuuma nn?
Tukuvishe shela ukaolewe wewe basi...
 
ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY at UK....................................ZARI white pARTY DSM
kaka diamod anakufa nakatai shingon
 
Kwa huu mwandiko wako nimeshindwa kujua kama wewe ni m.. hau f... Na kama ni m... Basi wewe gay.
 
Kwa huu mwandiko wako nimeshindwa kujua kama wewe ni m.. hau f... Na kama ni m... Basi wewe gay.
ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY 2
kama unakifurushi angalia hiyo ukirudi povu litakuwa limekutoka
c alie kutuma
 
Acheni kuwa wajinga anaitwa zarinah Hassan
Kiswahili mtuachie watanzania. Hujaelewa aliyekujibu kwa hili. Tunafahamu anaitangaza Zarinah Hassan Rudi usome vizuri uelewe kabla hujajibu hoja. Huyu Zari na Diamond wanawaumiza sana vichwa. Acheni wafanye walipendalo maisha ni kuchagua bana!
 
ac

acha ukwae angalia hii wanaume wanatumia achene ukware
you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY
cc diamond
Sasa ndo madudu gani hayo uliyoniandikia?! Yaani unataka niangalie video ya mwaka 2011 ili hatimae ni-prove nini? Yaani ulivyosema kwamba wanaume wa Dar hawasomi na kutafuta ukweli ni kv uliangalia video ya mwaka 2011? Hoyaaa, kimbia shamba huko; njoo mjini... mtu kama mimi huwezi kuniambia niangalie video ya Zari Party ya mwaka 2011 manake huku town kila siku kuna mambo mapya! By the way, hiyo cc diamond umemaanisha nini hasa? Usione tu watu wa mjini wanaandika na wewe ukaamua kuandika kumbe wenzako wanamaanisha kitu! Sasa wewe hapo unamaanisha nini?!
 
Iwe kweli isiwe kweli , Hayanisaidii kitu katika harakati zangu za kutafuta pesa.
 
Mbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!

asaBehind the Scenes with Zari Part 7 with Baby King Dalvin on UGPulse.com Ugandan South African Music nte check you tube
 
yote sawa kama kitombor cha maana kinatembea sioni tatizo hapo tuache wivu tu let them live their life
 
Nyie wapambe Wa Ivan mtaishia matusi na kujipendekeza ili mpate mlo tunajua dhiki zenu. Diamond anazo ana mikataba mingi name salsa yupo ulaya na familia yake nyie ntaishia south kwa bwana wenu
 
Back
Top Bottom