- Thread starter
- #41
ac
you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY
cc diamond
acha ukwae angalia hii wanaume wanatumia achene ukwareMbona una maneno yanayo-sound ukewenza ndugu?! Diamond mwenyewe katulia tuliii; hana haja ya DNA... Bi Sandra mama wa Diamond nae katulia tuliii; hana shida ya DNA... Asma na Queen Darleen ambao ni shangazi wa Tifa; wote wapo kimya... lakini anakuja mtu from nowhere anataka DNA ya mtoto ambae si wake, si wa kakake, si wa babake, si wa mjomba ake, si wa yeyote yule toka kwenye nasaba yake!!! Hivi ukituliza akili japo kwa dakika,huwa hujihisi kwamba upo tofauti?!
you tube ZARI'S FABULOUSITY CHAMPAGNE PARTY
cc diamond