Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu: Zipo kura za WanaCCM wa JF kwa Lissu, hazipo kura za wanaCHADEMA wa JF kwa Rais Magufuli. Ushindi unaanzia hapa!

Ndege zinaendeshwa kwa hasara gharama za service za Ndege ni kubwa kuliko kile kinachoingizwa na Ndege zenyewe, wajanja wachache wanapiga vibaya kwenye matengenezo ya Ndege subiria kampeni zianze msikie mengi msiyoyajua kwenye Ndege na miradi yote mikubwa iliyojaa ufujaji pesa na 10%za wanaccm
 
Ukweli ni huo pia wapo hata wa Chadema watampigia kura Magu
 
Sema usema, wadanganye uwadanganyavyo na ongopa uongoavyo lakini Raisi ataendelea kuwa JPM.

Hatuko tayati kutomchagua JPM÷
1. Mladi wa SGR usiendelee
2. Mladi mkubwa wa umeme usiendelee
3. Flay over zisijengwe
4. India wakawa wa kwanza kwa mauzo ya Tanzanite Funiani
5. Kenya wakawa wa pili kwa mauzo ya Tanzanite duniani
6. Tanzania tukawa wa tatu kwa mauzo ya Tanzanite Duniani
7. Mabeberu wakatuamulia maamuzi ya nchi yetu.
8. Watumishi wa seeikali wakawanyanyasa wanyonge.
 
Mimi ni upinzani lakini kura yangu nampa magufuli
 
8 watumishi wa umma wana miaka mitano bila nyongeza za mishahara wengi walifukuzwa kazi kisa vyeti Bandia lakini Bashite akaachwa na vyeti vyake wana hasira kuliko unavyofikiria, miradi yote itaendelea hata kama chauma ya Hashim itaingia ikulu hakuna Serikali haitaki maendeleo ingawa miradi ya Serikali ya CCM mingi imejaa ufisadi mkubwa
 
Zipo wapi trilion 1.5 zilizomtoa kafara CAG? Kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo? Zipo wapi zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa? CCM ni ile ile huko CCM hakuna malaika wa kumnyoshea mwingine mkono
Kamuulize mbowe Ruzuku ya chama iko wapi kwanza,au hiyo Ruzuku si pesa yetu wananchi!!!!

Tena mmempokea na nyarandu mkasahau story yenu ya Twiga kupanda ndege.
 
Wewe huelewi tafsili halisi ya kuongeza mishahara. Ukithibiti mfumko wa bei hakuna athari ya kutoongezeka kwa mshahara. Ukiongeza mshahara na mfumko wa bei ukatokea hiyo siyo tafsili halisi ya kuongeza mshahara.
 
Kwani ruzuku ya CCM iko wapi?
 
Mwenyekiti kajipimaaaa,kaona aache marupurupu ya ubunge wakati anajua Urais so Rahisi mbele ya JPM.


Kamsakizia lissu wa watu apunguze Machungu tu
 
Kamuulize mbowe Ruzuku ya chama iko wapi kwanza,au hiyo Ruzuku si pesa yetu wananchi!!!!

Tena mmempokea na nyarandu mkasahau story yenu ya Twiga kupanda ndege.
CCM ndiyo maana kuna msemo wa CCM unasema zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM Taifa huo ndiyo mkumbo wenu, mwambie CAG akague hesabu za ruzuku ya CCM kama hakuna watu watakunywa sumu kwa hofu ya kufungwa jela, hakuna ruzuku inafujwa kama ya ccm barani Afrika kote.
 
Hahahaa

Usijitoe ufahamu. Huelewi hata mlengo wa chama chenu wewe
Wewe ndiyo umejitoa fahamu hujui malengo ya ccm ni kuwaona watanzania ni wajinga wamelala
 
kila nikiwaza endapo kama wapinzani wakishika nchi basi tutawekwa lockdown ya corona hapo ndo nashindwa nifanye maamuzi gani.
 
Wazee wa gia za angani na kula ruzuku ya chama huku zana ya ndiyo mzee ikiwa ndo sera yenu.
Mwaka huu mtatafuta kazi ya kufanya na kisaccos chenu hicho
 
HIVI BADO MNAVAA BARAKOA NA HAMKUSANYIKI TENA??
YANI NYINYI MNAJUA NI WAIGIZAJI SANA MPAKA WANANCHI HAWAWAAMINI,SA HIVI MNAKUSANYIKA TU KILA KONA.


TUMEWACHOKAAAAAAAAAA,WAONGO NYINYI
MAFISADI NYINYI
WAJASIRIA SIASA NYINYI
WASALITI NYINYI
ROHO MBAYA NYINYI,TENA ZA KUOMBEA WATU WASIFANIKIWE ILI MFURAHI
 
Magufuli is not good president but CDM hawaaminiki kabisa!! Wamekaa kisela na kihuni huni sana!! Kwa usalama wa taifa hili CDM hawafai kwa sasa. Na sidhani kama vyombo vya usalama vinaweza kukubali nchi akabidhiwe mtu muhuni kama Mbowe
 
wazee wa gia za angani na kula ruzuku ya chama huku zana ya ndiyo mzee ikiwa ndo sera yenu.
Mwaka huu mtatafuta kazi ya kufanya na kisaccos chenu hicho
Kazi ipi zaidi ya siasa? Mahakamaccm mungu anaiona hata mkiwabambikia kesi kesi lake nane mungu atawalinda, kisaccos chetu kipi? ingekuwa ni saccos mngehangaika kuwabambikia kesi? Kuwapiga risasi? Kumlipa mabilioni cyprian Musiba kutengeneza propaganda za kishamba?
 
Mi si CCM usiniulize ya CCM,nimemuuliza mwenzio huyo anayelalamika fedha kutafunwa na kusahau yanayoendelea ndani ya CDM
Gharama za uchaguzi, uendeshaji, ukuzaji wa Chama na vitendea kazi vyote vya shughuli hizo unajua zinatoka wapi?

Mishahara ya watumishi wa Chama inatoka wapi?

Ni busara sana kutafakari kabla ya kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…