Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kitakuwa ndiyo kipimo cha wanaosema tume ni huruInawezekana pale wanaccm kupitia mwenyekiti wa NEC kuhakiki kweli kashindwa na akatangaza matokea halisi.
Vinginevyo katika hali hii hii ya kuteua ndg, jamaa na marafiki wakurugenzi na wengine kwenye tume sidhani kama tutafua dafu, nao wanajua akishindwa wanafia ndani.
Pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na wananchi wengi ambao hawana vyamaGharama za uchaguzi, uendeshaji, ukuzaji wa Chama na vitendea kazi vyote vya shughuli hizo unajua zinatoka wapi?
Mishahara ya watumishi wa Chama inatoka wapi?
Ni busara sana kutafakari kabla ya kuandika.
cha hasira! Jiwe linarudi Chato mwaka huuNi mpumbavu pekee anaeamini mwaka huu kuna jipya toka upinzani
Acha uongo wewe! Wakristo wa kweli tupo wengi tu na kura tutaupatia muujiza unaoishi. Huyo mkristo wa kumwona Lissu ni muovu na kumpa kura Magufuli atakuwa na cancer ya ubongoUkweli TOKA rohoni namkubali Lissu mnooo,lakini kitendo chake cha kuongea hadharan anakubali ushoga Hilo ajiandae as Christian na wacha Mungu wa Tanzania hii kamwe hawezi pata kura zao kamweee najua mtapinga Ila hakuna mkristo kamili atampa kura lisu labda afute kauli yake hadharan na hii ni fimbo itakayomsaidia Magu maana pamoja na madhaifu yake yote yanayosemwa mbele ya jamii anaonekana kuwa na hofu ya Mungu..anyway ngoja tuone
Weka nadhiri pia ya kuzilinda na kuzitangazaNaweka nadhiri kutafuta kura 1000 za Tundu Antipas Lissu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Umesoma hiyo heading ukaona tofauti ya "fonts"!!?Kila mtu ashinde mechi zake.View attachment 1526599
Kamwe atuwezi mchagua Lissu. uzuri wa watanzania tunajielewa.Kila mtu ashinde mechi zake.View attachment 1526599
Siwezi bishana na wewe,Wala si kazi yangu kubishana nawe,huo muda unaotumia kunijibu mie ninayejielewa utumie kumtangaza huyo Lissu vijijini na mitaani,ukitulia humu utajipa matumaini ambayo hajapo...Acha uongo wewe! Wakristo wa kweli tupo wengi tu na kura tutaupatia muujiza unaoishi. Huyo mkristo wa kumwona Lissu ni muovu na kumpa kura Magufuli atakuwa na cancer ya ubongo
Hujawahi sikia kwenye historia jinsi babu zako walivyobadilishana lulu kwa kupewa golori na kushangilia!?Hahahaaaa........ Lisu atatuuza kwa mabeberu.
Dr Magufuli ni Lulu na yule Lisu ni sawa na gololi za kuchezea watoto!
Hii hata house girl wako atakuambia ni photoshop.Kila mtu ashinde mechi zake.View attachment 1526599
Mbona unatupigia makelele?HIVI BADO MNAVAA BARAKOA NA HAMKUSANYIKI TENA??
YANI NYINYI MNAJUA NI WAIGIZAJI SANA MPAKA WANANCHI HAWAWAAMINI,SA HIVI MNAKUSANYIKA TU KILA KONA.
TUMEWACHOKAAAAAAAAAA,WAONGO NYINYI
MAFISADI NYINYI
WAJASIRIA SIASA NYINYI
WASALITI NYINYI
ROHO MBAYA NYINYI,TENA ZA KUOMBEA WATU WASIFANIKIWE ILI MFURAHI
Hahahaaaa........ Kama wanavyoshangilia Chadema!Hujawahi sikia kwenye historia jinsi babu zako walivyobadilishana lulu kwa kupewa golori na kushangilia!?
Ni mpumbavu pekee asieamini mwaka huu Kuna jipya toka upinzani.Ni mpumbavu pekee anaeamini mwaka huu kuna jipya toka upinzani
Mkuu mimi nadhani JF si chama cha siasa japo tunajadiri siasa.Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna.
Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016 kwamba ubabe hausaidii, tukawambia usifanye hivyo ukakaidi, sasa utapigwa! Tulikuonya usiende na njia hiyo, ukaona sisi ni vibeberu uchwara, utapigwa! Na mimi nasema wakupige tu kwenye sanduku la kura maana hakuna namna sasa! Enh, ubabe ukiutumia kwenye uongozi utapigwa kwenye kura! Na acha upigwe tu!
Kiukweli njia ya uongozi na mwenendo alioenda nao Rais Magufuli kwa hii miaka mitano ni ya hovyo sana na akirudi kwa wananchi ataona matokeo yake. Mimi binafsi nimejikuta nikifurahia matokeo yake ingawa mwanzoni nilipaaza sauti abadilike. Namshukuru Mungu kwa kuendelea kumjengea ubabe. Sasa anaenda kuvuna!
Sina shaka na kina johnthebaptist aka bwasheeee, Pascal Mayalla na wengine wengi ambao ni wanaccm ILA kura zao hazitaenda kwa Magufuli. Hiyo ni hatua nzuri ya ushindi na bado huko mitaani.
Tukirudi kwa wanachadema sijaona na haitokaa itokee kura ya mwanachadema yeyote kwenda kwa Magufuli!
Upo uongozi wa kimsimamo unaozingatia sheria na ubabe uchwara, watanzania hawako tayari kuchagua "Ubabe uchwara, wamepitia mengi!
Acha kuhamisha magoli wewe, nimekueleza kuhusu point yako ya wakristo wote wa kweli kumpa kura Magu kwasababu Lissu ni muovu, habari za kujulikana zinatoka wapi?Jamani huyo Lissu anayeongelewa humu mitandaoni yupo kweli mitaani,yupo kweli vijijini?
Siwezi bishana na wewe,Wala si kazi yangu kubishana nawe,huo muda unaotumia kunijibu mie ninayejielewa utumie kumtangaza huyo Lissu vijijini na mitaani,ukitulia humu utajipa matumaini ambayo hajapo...
Vipi mbona mapovu? Nimekupata nini?UCD
Ushoga haujawahi kuwa Tatizo kwa Tanzania kwa jamii haipendi ushoga automatic na hakuna mpinzani anahubiri ushoga acha kuwapakazia uongo wa kishamba, msaliti kivipi? Kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angekwenda ulaya? Msaliti ni wewe binafsi