Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu: Zipo kura za WanaCCM wa JF kwa Lissu, hazipo kura za wanaCHADEMA wa JF kwa Rais Magufuli. Ushindi unaanzia hapa!

Hujanisoma vizuri sijamaanisha wakristo wa kurithi Soma vizuri....na tusiandikie mate wakati wino upo angalia makanisa yote ya kiroho nini wataamua subiri maana yatakuwa wazi
 
 
Upoyoyo haijawahi kumwacha mtu salamaπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£! Eti Magu hana kura JfπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚!
 
Kwahiyo hao walioko Singida, kahama na Manyara ni wanaJFs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…